Unanunua kwa bei gani kilo.
Mi natafuta za kijani na mbuziDah Lushoto Mhelo zipo nyingi tu hebu subiri
Jr[emoji769]
Kwani unafeli wapi?Tuwasiliane mkuu kama unazo tufanye biashara 0742891090
Mi natafuta za kijani na mbuzi
niliweka Uzi asubuhi sijui mods wamepita nao!