Pilau na Sikukuu!

Pilau na Sikukuu!

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
59,839
Reaction score
137,039
Hivi ni nani alianzisha huu utaratibu wa kupika/kula pilau siku za sikukuu?! Iwe sikukuu ya kiislam au kikristu nyumba nyingi itapikwa pilau hasa mijini,hata kijijini kwetu ni pilau tu siku kama leo!
 
Back
Top Bottom