Pilau la njegere

Chakula kizuri sana leo mimi nilikuwa na wageni walinishtukiza nilipika vingi ila sikuweza kupiga picha niwek hapa
 
Chakula kizuri sana leo mimi nilikuwa na wageni walinishtukiza nilipika vingi ila sikuweza kupiga picha niwek hapa
Asante, hiki kinaleta usingizi fofofo😄
Ila umetukosesha uhondo wa pishi lako kwa njia ya picha mpwa.
 
Asante, hiki kinaleta usingizi fofofo😄
Ila umetukosesha uhondo wa pishi lako kwa njia ya picha mpwa.
Hapa nipo hoi af walinishtukiza nilipika ving catress tambi keki ndizi samaki za kukakaanga na juice hapa nataka kulala
 
Hapa nipo hoi af walinishtukiza nilipika ving catress tambi keki ndizi samaki za kukakaanga na juice hapa nataka kulala
Aiseee 😋
Haya mpwa pole kwa uchovu.
Pumzika, kesho.
Ila jua kuna baadhi ya wanawake umewashinda upishi.
 
Aiseee 😋
Haya mpwa pole kwa uchovu.
Pumzika, kesho.
Ila jua kuna baadhi ya wanawake umewashinda upishi.
Siku ukiona nimeshusha hapa thread ujue ni wali wa nazi na tambi nikichanganya na wali
 
We kijana unapata wapi huo muda na mazaga hayo🙌🏽?? Kwahiyo ukipata wageni unawapikia??
Ndio walikuwa wamekuja na vitu kabisa nisingeweza kukataa af ilikuwa saa kumi saa kumi nambili wanafutar
 
Nitaliipika,wife hayupo hapa nishapata idea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…