NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,915
Njegere hazikuwiva nusura apasuliwe nahisiAse π njugu mawe
No maji yalipo pungua ndio nikaweka
Loh lohππYule sitaki hata kumuona kaniita mimi nzi..! na zimgomee tu!
Tutake radhi aisee..π πUtakuta ni msukuma alichanganya njugumawe akijua ni njenjere.
Na huku umenifuata sitaki kukuona!Loh lohππ
Ni mbuga gani?Karibu utembee utojutia
Mimi ni babu yako wa kipogoro ntakuachia laana.Tutake radhi aisee..π π
Bahati nzuri sijapasuliwa. Kaonja kidogo kaacha hapo hajasema kituπNjegere hazikuwiva nusura apasuliwe nahisi
Vibaya hivyoNa huku umenifuata sitaki kukuona!
Hongera alitulizwa na utamu wako wa siku zote.Bahati nzuri sijapasuliwa. Kaonja kidogo kaacha hapo hajasema kituπ
Hujajisikia vibaya umejikunja jikoni halafu mzee kaishia kuonja tu? π₯Bahati nzuri sijapasuliwa. Kaonja kidogo kaacha hapo hajasema kituπ
Kwaki shimba ni simbaπππ
Shimba ya Buyenze
Ooh! KumbeKwaki shimba ni simba
Nauliza,kwani shimba ni SIMBA.Ooh! Kumbe