Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,522 Reaction score 14,192 Sep 1, 2022 #1 Habari. Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme]. Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged? Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa. Uimara wake vip? Nitashukuru sana
Habari. Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme]. Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged? Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa. Uimara wake vip? Nitashukuru sana
Mwamitumai Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 112 Reaction score 148 Sep 3, 2022 #2 Mwanza jiji zinapatikana...... Sent using Jamii Forums mobile app
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Sep 5, 2022 #3 Mwamitumai said: Mwanza jiji zinapatikana......View attachment 2343688 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shs ngap??
Mwamitumai said: Mwanza jiji zinapatikana......View attachment 2343688 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shs ngap??
I ikiumasema JF-Expert Member Joined Oct 9, 2015 Posts 923 Reaction score 1,302 Sep 6, 2022 #4 Ukinunua wakuuzie na power bank Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,293 Reaction score 4,969 Sep 7, 2022 #5 Orketeemi said: Habari. Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme]. Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged? Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa. Uimara wake vip? Nitashukuru sana Click to expand... Bei zake zinategemea na charging capacity),na speed km /hour jana kuna mwamba nkmeulizia kariakoo bei inaamzia 1M hadi ,1.4M, inategemea but hata mm nawaza sana kunjnua kwa ajili ya back up ya mara moja moja
Orketeemi said: Habari. Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme]. Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged? Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa. Uimara wake vip? Nitashukuru sana Click to expand... Bei zake zinategemea na charging capacity),na speed km /hour jana kuna mwamba nkmeulizia kariakoo bei inaamzia 1M hadi ,1.4M, inategemea but hata mm nawaza sana kunjnua kwa ajili ya back up ya mara moja moja
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,293 Reaction score 4,969 Sep 7, 2022 #6 Sample alizonitumia viko poa full charge km 80View attachment 2348721
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,556 Reaction score 2,331 Feb 10, 2023 #7 Je zinafaa kwa bodaboda?
baruti170 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 554 Reaction score 397 Feb 10, 2023 #8 Sendoro Mbazi said: Je zinafaa kwa bodaboda? Click to expand...
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,801 Reaction score 129,644 Feb 10, 2023 #9 Sendoro Mbazi said: Je zinafaa kwa bodaboda? Click to expand... Zinafaa ila itabidi uwe na power bank.
Sendoro Mbazi said: Je zinafaa kwa bodaboda? Click to expand... Zinafaa ila itabidi uwe na power bank.
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,293 Reaction score 4,969 Feb 11, 2023 #10 RRONDO said: Zinafaa ila itabidi uwe na power bank. Click to expand... Ndio zipo zinazofaa kwa boda boda Kuna jamaa wapo kigamboni wanauza hizo piki piki Sent using Jamii Forums mobile app
RRONDO said: Zinafaa ila itabidi uwe na power bank. Click to expand... Ndio zipo zinazofaa kwa boda boda Kuna jamaa wapo kigamboni wanauza hizo piki piki Sent using Jamii Forums mobile app
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,556 Reaction score 2,331 Feb 15, 2023 #11 KANYEGELO said: Ndio zipo zinazofaa kwa boda boda Kuna jamaa wapo kigamboni wanauza hizo piki piki Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Naomba contact zao mkuu, nimesikia Rwanda wanazitumia na hazina matengenezo makubwa
KANYEGELO said: Ndio zipo zinazofaa kwa boda boda Kuna jamaa wapo kigamboni wanauza hizo piki piki Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Naomba contact zao mkuu, nimesikia Rwanda wanazitumia na hazina matengenezo makubwa
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 6,272 Reaction score 10,123 Dec 29, 2023 #12 Orketeemi said: Habari. Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme]. Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged? Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa. Uimara wake vip? Nitashukuru sana Click to expand... Mrejesho tafadhari
Orketeemi said: Habari. Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme]. Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged? Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa. Uimara wake vip? Nitashukuru sana Click to expand... Mrejesho tafadhari