Pikipiki [toyo] inauzwa

Pikipiki [toyo] inauzwa

Cartoons

Senior Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
122
Reaction score
39
ina usajili wa BTV, Engine capacity yake ni 150cc, imetengenezwa nchini China na kuingia nchini 2011.
Ipo kwenye hali nzuri, na ina uwezo mzuri00,000/= (laki tisa tu

NB. nimeshindwa ku_up load picha zake kutokana na uwezo mdogo wa browser yangu..
 
Back
Top Bottom