- Thread starter
- #21
sasa inategemea na unaishi kijiji gani mkuu, maduka ya spare za kichina zipo wilaya zote za mkoa.Tatizo spare...hazipatikani...mkuu,Mimi nipo kijnin nikinunua maanake spare nitakiwa nafuata dsm.
sasa inategemea na unaishi kijiji gani mkuu, maduka ya spare za kichina zipo wilaya zote za mkoa.Tatizo spare...hazipatikani...mkuu,Mimi nipo kijnin nikinunua maanake spare nitakiwa nafuata dsm.
hahaha, bosi hizi hazitetemeshi. ziko imara.
sawa mi nimeshauza pikipiki mbili tayari nasubiri malalamiko kutoka wateja wangu walionunua. asanteni JamiiforumsMhhhh, ngoja nisubriri tu ushuhuda kwa watu wengine. Unakumbuka miaka ya nyuma zile feni za Kichina? Zilikuwa zinaonekana bomba kinoma machoni mwetu, ukinunua na kuweka nyumbani....utashangaa usiku mmelala majirani wanawahamsha nyumba yenu inawaka moto. Ukiwa na bahati utatoka na majeraha ila ukichelewa unakuwa mshikaki.
mkuu habari pia tunahitaji agent wa kusuply GPS zetu na hii ni chat inayoonyesha vile agent anavyoweza kunufaikaTUNAUZA PIKIPIKI MPYA ZA KICHINA, AINA YA OMOTTO INA ENGINE KUBWA YA 150 CC, INA SELF START, KITI KIREFU CHA KUKAA WATU WAWILI, INABEBA MZIGO WA KILO 200. ZINAFAA KWA BODABODA NA KZAI NGUMU. INAKULA LT 1 YA MAFUTA KWA KM 45. MATAIRI YA SPORT RIM . INA SHOW NZURI YA KUVUTIA. INADUMU MUDA MREFU TOFAUTI NA ZINGINE. ZINAKUJA KWA RANGI TATU, NYEKUNDU, BLU NA KIJANI.
ZIPO TOLEO MBILI;
1) OMOTTO -OM 150BX- MIL 2.1
2) OMOTTO SCOOTER - MIL 2.4
OFA- WARRANTY MWAKA MZIMA. KOFIA MOJA BURE, USAJILI WA KADI BURE NA BOX YA SPARE BURE.
OFISI- TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO. KARIBU NA STENDI YA CCBRT
WADAU WA MIKOANI TUNAWASAFARISHIA MZIGO
SIMU- 0689866100, WHATSAPP- 0717518359
PIKIPIKI NI MTAJI.
View attachment 466360
View attachment 466361
View attachment 466363 View attachment 466363
View attachment 466364
Mwaka wa 4, natumai walionunua wanaweza kutuwekea shuhuda hapa