PIKIPIKI MPYA ZA OMOTTO

jokielias

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,203
359
TUNAUZA PIKIPIKI MPYA ZA KICHINA, AINA YA OMOTTO INA ENGINE KUBWA YA 150 CC, INA SELF START, KITI KIREFU CHA KUKAA WATU WAWILI, INABEBA MZIGO WA KILO 200. ZINAFAA KWA BODABODA NA KZAI NGUMU. INAKULA LT 1 YA MAFUTA KWA KM 45. MATAIRI YA SPORT RIM . INA SHOW NZURI YA KUVUTIA. INADUMU MUDA MREFU TOFAUTI NA ZINGINE. ZINAKUJA KWA RANGI TATU, NYEKUNDU, BLU NA KIJANI.

ZIPO TOLEO MBILI;

1) OMOTTO -OM 150BX- MIL 2.1

2) OMOTTO SCOOTER - MIL 2.4

OFA- WARRANTY MWAKA MZIMA. KOFIA MOJA BURE, USAJILI WA KADI BURE NA BOX YA SPARE BURE.

OFISI- TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO. KARIBU NA STENDI YA CCBRT

WADAU WA MIKOANI TUNAWASAFARISHIA MZIGO

SIMU- 0689866100, WHATSAPP- 0717518359

PIKIPIKI NI MTAJI.

IMG_20170130_180232.jpg

IMG_20170130_180127.jpg

IMG_20170130_095732.jpg
IMG_20170130_095732.jpg

IMG_20170130_095745.jpg
 
Nzuri sana mkitangaza vyema mtafanya mapinduzi ya piki piki nchini.
 
TUNAUZA PIKIPIKI MPYA ZA KICHINA, AINA YA OMOTTO INA ENGINE KUBWA YA 150 CC, INA SELF START, KITI KIREFU CHA KUKAA WATU WAWILI, INABEBA MZIGO WA KILO 200. ZINAFAA KWA BODABODA NA KZAI NGUMU. INAKULA LT 1 YA MAFUTA KWA KM 45. MATAIRI YA SPORT RIM . INA SHOW NZURI YA KUVUTIA. INADUMU MUDA MREFU TOFAUTI NA ZINGINE. ZINAKUJA KWA RANGI TATU, NYEKUNDU, BLU NA KIJANI.

ZIPO TOLEO MBILI;

1) OMOTTO -OM 150BX- MIL 2.1

2) OMOTTO SCOOTER - MIL 2.4

OFA- WARRANTY MWAKA MZIMA. KOFIA MOJA BURE, USAJILI WA KADI BURE NA BOX YA SPARE BURE.

OFISI- TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO. KARIBU NA STENDI YA CCBRT

WADAU WA MIKOANI TUNAWASAFARISHIA MZIGO

SIMU- 0689866100, WHATSAPP- 0717518359

PIKIPIKI NI MTAJI.

View attachment 466360

View attachment 466361
View attachment 466363 View attachment 466363

View attachment 466364
Pikipiki mbovu hizo hazina ubora msikurupuke kununua jamani itakula kwenu.
 
asante bosi, kama zingekuwa mbovu basi hata huko TBS zisingepita na kama zingekuwa mbovu nisingekuja kutangaza hapa.
MI nawaalika wadau wote waje kuziona hapa ofisini kwetu.

Natambua kuna washindani wetu wa boxer, sanlg, fekon ndio mnakuja kuniharibia post.
 
Mm npo kigoma ntaipataje usafri kwa kwa kampuni yen mtanfanyia ela ngap hyo yenye muundo wa boxer
 
asante bosi, kama zingekuwa mbovu basi hata huko TBS zisingepita na kama zingekuwa mbovu nisingekuja kutangaza hapa.
MI nawaalika wadau wote waje kuziona hapa ofisini kwetu.

Natambua kuna washindani wetu wa boxer, sanlg, fekon ndio mnakuja kuniharibia post.
Nyie Quality group nani asiyewajua kwa kuuza vitu feki na magumashi......middle finger
 
asante bosi, kama zingekuwa mbovu basi hata huko TBS zisingepita na kama zingekuwa mbovu nisingekuja kutangaza hapa.
MI nawaalika wadau wote waje kuziona hapa ofisini kwetu.

Natambua kuna washindani wetu wa boxer, sanlg, fekon ndio mnakuja kuniharibia post.
jazia hoja nzito. tv zilizowahi kukanyagwa na greda kariakoo miaka ya nyuma zilithibitishwa na nani? simu zilizomulikwa na TCRA hazikutangazwa kibiashara kama hizi honda?
 
Made in China, si ndiyo? Ngoja wenzangu wanunue kwanza ndipo nami nitajikita huko.....sitaki kwa sasa kwani sitaki kuwa wa kwanza kulipukiwa moto au tako kuganda kwenye kiti. Nitasubiri tu.
 
Omoto ni kampuni ya china inayotengeneza hizi pikipiki. hizi pikipiki huwa zinatestiwa kwanza kabla hazijaingizwa sokoni na taratibu zote za ukaguzi unafuatwa. na hii ipo duniani kote bidhaa yeyote lazima itestiwe na kuangaliwa performance yake na kwa upande wa tanzania TBS na TRA wako makini sana tofauti na siku za nyuma.
Omoto ni chombo safi, na ni bora kama zilivyo pikipiki zingine. tunazo sample za pikipiki kwa ajili ya mteja aje kutesti mwenyewe aone chombo kilivyo.
 
Made in China, si ndiyo? Ngoja wenzangu wanunue kwanza ndipo nami nitajikita huko.....sitaki kwa sasa kwani sitaki kuwa wa kwanza kulipukiwa moto au tako kuganda kwenye kiti. Nitasubiri tu.
iliwahi kukutokea?? tupe stori, ilikuwa pikipiki gani??
 
Back
Top Bottom