Habari kwa wadau wa pikipiki za kichina,
Napenda kuwafahamisha tuna stock mpya ya pikipiki aina ya REMEX FIGHTER , Imetengenezwa kisasa zaidi, ina engine cc 150 ni imara, ina spidi, ina nguvu na inapiga kazi kwenye mazingira yote.
Bei ni rahisi kabisa kwa Million 1,750,000 tu. Unapata REMEX MPYA.
Tunakupa warranty ya matengenezo bure ya mwaka mzima. pamoja na usajili wa kadi tunakufanyia bure. Wadau wa mikoani tunawasafirishia pikipiki. (Gharama za usafiri utalipia)
Spea zinapatikana kwetu na kwa mawakala wetu wote wanaouza spea za kichina Tanzania nzima.
Fika ofisini kwetu, MSASANI, kituo cha Macho, utaona Duka la pikipiki limeandikwa Quality Motors ltd.
Mawasiliano
Afsa Mauzo
SIMU- 0717518359. WHATSAPP- 0689866100.
KARIBUNI WADAU.