Pikipiki kujiresi

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Feb 2, 2019
477
1,066
Msaada wenu unahitajika wakuu.pikipiki yangu TVS 125.Mwaka jana iliua cylinder head nikaiweka ndani,wiki iliyopita nilinunua cylinder head mpya nikafunga,Tatizo linalonikabili ni kuwa ukiiwasha inajiresi sana.Ukitembea kidogo inakaa sawa lakini ukisimama shida inarudi palepale.
 
Back
Top Bottom