Pikipiki inauzwa

Pikipiki inauzwa

Siwazagi demu mm na huwa sipotez muda kufanya kiki zenu hizo kwa ajili ya demu.
Ila nikimtaka demu yeyote namnasa bila kiki.

Ni hulka ya memba wengi tunajua mnazo na nimatajiri ambao mnalalama kununua pkpk ya mili 3 mnataka ya laki 5 kwa sababu hampendi show off
 
Ni hulka ya memba wengi tunajua mnazo na nimatajiri ambao mnalalama kununua pkpk ya mili 3 mnataka ya laki 5 kwa sababu hampendi show off
Sawa sikiliza ndugu yangu hii mada tuache uendelee kutangaza pikipiki yako
Usije kukosa mteja ukasema mm ndio nimeharibu biashara yako,halaf ukose hela ya kula unipatishe dhambi mm.
Nakuombea ubarikiwe kwenye biashara yako.
 
Ila boss amini kua katika maisha sio kila mtu yuko focused kutafuta pesa mwingine yupo focused kutafuta furaha za kuishi akimiliki vitu vizuri ndo furaha yake simu ya 5m cjuh pikipiki
Usi m judge mtu kulingana na perceptions zako
We perceptions zako kumiliki vitu vinavyokuingizia pesa we respect that
Huyu ni kumiliki vitu vya bei ghali respect that too
 
PIKIPIKI HONDA 250 INAUZWA.
Made:Japan
Cooling system (rejeta)
Speed 180
Sports rims
Showcup za upepo
Brake: disc both side
V-twin engine (two in one)
Full documents,in good condition.
Contact:0673190072
Location😀ar es salaam
Bei 3m

MAONGEZI YAPO.View attachment 1123809
Hizo SHOWCUP za upepo ndo nini na zikoje?!?
 
Sawa sikiliza ndugu yangu hii mada tuache uendelee kutangaza pikipiki yako
Usije kukosa mteja ukasema mm ndio nimeharibu biashara yako,halaf ukose hela ya kula unipatishe dhambi mm.
Nakuombea ubarikiwe kwenye biashara yako.

Mtu mpaka kanunua pikipiki ya kutembelea ya mil 4,sio mwenzako huyu.

Kwanini tuna mawazo ya kichovu namna hii,mwenzako anatumia piki piki ya 5ml kutembelea shamba la miti laki 8 kila weekend,kila mti anakuja kuuza elfu kumi baada ya miaka miwili,ni pesa ngapi hiyo???
 
Ww hujui kwamba maskini ndio huwa wanahangaika kuishi maisha ya kuigiza.
Ww unafikir matajir wanahangaika kununua vitu vya gharama kwa ajili ya kuwaringishia watu.
Kwani kasema huyo mwenye simu ya bei kubwa anawaringishia watu?
 
Mimi najenga nyumba mkuu kwa sababu ni asset simu niko nayo standard ambayo inaniwezesha kutumia matumizi yangu yote muhimu ya applications mbalimbali pamoja na typing ya fomu na barua mbalimbali.
Hyo simu ya mil 5 kibaka akiikwapua imekula kwako.
Naona siku hizi kipimo cha mtu kuwa siyo limbukeni ni kujenga nyumba.Kila mtu anasema mimi najenga nyumba.Sasa kama mtu anavyo hivyo vyote na akaamua kumiliki simu ya bei Mbaya ni dhambi?
 
Ni hulka ya memba wengi tunajua mnazo na nimatajiri ambao mnalalama kununua pkpk ya mili 3 mnataka ya laki 5 kwa sababu hampendi show off
Kuna mtu hapendi vitu vizuri? Ni umaskini tu ndiyo unatufanya tujifariji Kwa kusema Mie najenga nyumba kwanza haya mambo ya luxury staki
 
Back
Top Bottom