Pikipiki inauzwa

Pikipiki inauzwa

Ww hujui kwamba maskini ndio huwa wanahangaika kuishi maisha ya kuigiza.
Ww unafikir matajir wanahangaika kununua vitu vya gharama kwa ajili ya kuwaringishia watu.
Nimekuuliza kwani MO anatumia tecno???
 
Sasa we unafikir mo ana akili Kama zenu kununua simu ya mil 5 halaf hata kibanda Cha kulala huna
Kwanini wewe simu kali hununui halafu unaishia kumiliki kibanda[emoji16][emoji16][emoji16], huoni unapuyanga mkuu??
 
Mimi najenga nyumba mkuu kwa sababu ni asset simu niko nayo standard ambayo inaniwezesha kutumia matumizi yangu yote muhimu ya applications mbalimbali pamoja na typing ya fomu na barua mbalimbali.
Hyo simu ya mil 5 kibaka akiikwapua imekula kwako.
 
Huyo mwenye hyo simu ni limbukeni si ajabu hata kutumia smartphone vzr hajui anapiga na kupokea simu tu eti kisa aonekane matawi.
Ingekuwa pesa inachezewa hvyo Basi mo dewji angetumia simu ya mil 50.
Unaijua simu yake? Vifaa vya ulinzi alivojiwekea mwilini? Gari anazotumia? Stay cool kama huna pesa mzee
 
Daadeki jamaa kaweka biashara badala ya kujikita kwenye biashara ametekwa na maharamia sasa anajadili mo mara tecno mara samsung mara umasikini sa lengo la tangazo lake kwisha kabisa huu nao ni uzwazwa
 
Mahitaji yanatofautiana,wakati wewe unahitaji kula ugali mrenda mwingine anataka nyama choma.
Maisha hayana formula[emoji850]

ungebadirisha msemo

wakati mimi nataka kula nyama choma (STARLET)
mwingine anahitajikula ugali mrenda (PIKIPIKI)
 
Mimi najenga nyumba mkuu kwa sababu ni asset simu niko nayo standard ambayo inaniwezesha kutumia matumizi yangu yote muhimu ya applications mbalimbali pamoja na typing ya fomu na barua mbalimbali.
Hyo simu ya mil 5 kibaka akiikwapua imekula kwako.

Ukiwa na njaa ndio unawaza haya, pkpk mil 3 unapiga yoweee, wenzako wana range rover vellar inauzwa dollar 200,000 ushuru mil 200 na wala haiingizi hata 10 na hawapigi kelele. Tujitahidi kutafta na tulidhike na tulivyonavyo tusijitutumue
 
Mimi wala sipati tabu na wewe kwa sababu nilishapita level zote hizo.
Wewe unaonekana upo level fulani hivi Kama za vijana wanyoa viduku ambao huwa wanaishi maisha ya kuigiza hali ya kuwa ni kapuku tu.
Mimi naishi maisha halisi kadri ya uwezo wangu,hakuna mtu namuigizia au kumuogopa na wala huwa sitaki kiki.
Nyinyi ndio huwa mnaishi kwa kiki ili mbahatishe kupata mademu.
 
Kumbe bado unawaza mademu, pole sana sio wakati wa kukushauri malizana kwanza na mademu.
 
Siwazagi demu mm na huwa sipotez muda kufanya kiki zenu hizo kwa ajili ya demu.
Ila nikimtaka demu yeyote namnasa bila kiki.
 
Back
Top Bottom