Pikipiki Inahitajika

Pikipiki Inahitajika

YUDITHA

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
154
Reaction score
28
Nahitaji Pikipiki Iliyo Ktk Hali Nzuri Na Yenye Documents Zake Zote. SANLG, BOXER na FEKON Nitafurahi Zaidi .weka Dau Lako Hapo. Itapendeza Ikiwa Ni Wa Kibaha-mlandizi, Kibaha-maili Moja, Dar Es Salaam Au Hata Bagamoyo. Tuma Sms Utajibiwa 0684061977
 
me nnayo boxer mpya niliinunua kwa sbb ya matumiz yng lkn kwa sasa ctak pikpik nmepata mkopo wa gar kazin namba yke ni c na nmeinunua februar mwaka huu 2fanye buznec
 
nianayo fekon nilinunua mwaka jana mwezi wa9 kwasasa ina mwaka bei mill1.1 namba c
 
me nnayo boxer mpya niliinunua kwa sbb ya matumiz yng lkn kwa sasa ctak pikpik nmepata mkopo wa gar kazin namba yke ni c na nmeinunua februar mwaka huu 2fanye buznec

Mkuu bado unao mzigo??
 
Back
Top Bottom