Pikipiki inahitaji haraka

Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,594
2,000
piki piki km hapo juu inahitajika.... brand new..

Au iwe inafanana na iyo.
Isiwe na cluch... na iwe ina uwezo wa kupakia mtu... na tairi ziwe nyembamba....

Mwenye nayo au anayejua wapi zinapatkana.... msaada plz bei.. specs na location
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom