....nikipaka masaa kuanzia mawili....Wakuu misaada wa mawazo...nina boxer 150 .. asubuhi inachelewa kuwaka na pia nikipaka masaa kuanzia mawili haiwaki haraka shida ni nini wakuu??
Sijakuelewa vizuri jamaa.