Mkuu acha kumuingiza Chaka kijana.
Mkuu chukua hiyo tvs 150x ni machine nzuri sana na ina nguvu na mafuta kidogo tena chukua version yenye 4gears.
Me ninayo hiyo ina Mika 2 na nusu nimebadili ni gamba ya nyuma na tube yake na kubadili oil tu basi.
Engine yake sijawahi gusa na odometer yake inasoma 33,000km
kwenye balance, ulaji mzuri wa mafuta boxer ipo vizuri, shida inahitaji matunzo , kubadili oil filter mara kwa mara, na spare zake ni ghali, ila TVS filter ikifungwa imefungwa na wese inakula kuliko boxer pia ni nyepesi kwenye mchanga kuliko boxer