Pikipiki aina ya Boxer, for only 1million.

Pikipiki aina ya Boxer, for only 1million.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Natafuta Pikipiki aina Ya Boxer Kwa Tsh 1million.

Vigezo.

1.Pikipiki isiwe ya Uwizi ama dalili zozote za kupatikana kitapeli.
Kumbuka Shahidi wakati wa Manunuzi kwa Upande wangu atakua Askari pamoja na Mwanasheria wangu, na kwa upande wako nitahitaji awe Mjumbe wako wa mtaa.

2.Isiwe Imechoka Body wala Engine wala Kupungukiwa kifaa chochote.
Kumbuka manunuzi yatafanyika Fundi wa Pikipiki akiwepo kwa ajali ya Ukaguzi.

Sina Haraka nayo So kama ww ni dalali ama vingenevyo na Umeliona tangazo hili Basi nisaidie Kuipata Pikipiki hiyo, nipo tayari mda Wowote Kuilipia pale tu itakapopatikana na kutimiza vigezo vyangu.
Kwa Kifupi tu nimeshapata Moja , kwa Bei Hiyo nzuri na Imeingia Tayari kwnye Makusudio ya kazi , najitaji Mbili zaidi.

Nipo Dar es salaam.

Natarajia kusikia kutoka kwenu.

Ahsanteni
 
Ongeza hela mkuu
Hizo ni nyingi lakini sio sana kwahiyo ongeza hela babu
 
Mkuu anapenda mtelemko sana, haya bana ngoja waje wenye shida
 
Natafuta Pikipiki aina Ya Boxer Kwa Tsh 1million.

Vigezo.

1.Pikipiki isiwe ya Uwizi ama dalili zozote za kupatikana kitapeli.
Kumbuka Shahidi wakati wa Manunuzi kwa Upande wangu atakua Askari pamoja na Mwanasheria wangu, na kwa upande wako nitahitaji awe Mjumbe wako wa mtaa.

2.Isiwe Imechoka Body wala Engine wala Kupungukiwa kifaa chochote.
Kumbuka manunuzi yatafanyika Fundi wa Pikipiki akiwepo kwa ajali ya Ukaguzi.

Sina Haraka nayo So kama ww ni dalali ama vingenevyo na Umeliona tangazo hili Basi nisaidie Kuipata Pikipiki hiyo, nipo tayari mda Wowote Kuilipia pale tu itakapopatikana na kutimiza vigezo vyangu.

Natarajia kusikia kutoka kwenu.

Ahsanteni
IMG_20170226_142911.jpg
unatafuta landcruiser kwa beii ya nyanya,haya chukua hiyo hapo japo pic ya kumbukumbu
 
Ukishatoka Kwa wazazi wako Utajua Maisha ni nn.! .. Sasa hivi endelea Kuita bargain ni mteremko...
Bado ni wakati wako.
Mkuu unapenda kuwalalia watu wenye shida sio tabia nzuri, kusanya milioni mbili nikuelekeze mahali ukanunue mpya kabisa, bure gharama
 
Agiza......c umesema hutaki mitumba au sio wewe?
 
Usimfundishe mwenzio kununua mali za dhuluma atolee jasho saivi boxer ni 2.3 anunue tu shop
Unasari kwa Gwajima mkuu?.amesema anatafuta Pikipiki ya kitonga tunampa ushauri unasema boxer Dukani milioni 2 bei anajua mkuu
 
Back
Top Bottom