Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,082
- 2,217
Mkuu kama unaweza fanikisha dhamana zipo weka vigezo vitimizweDhamana ni nini boss
Njoo na 2.1M nikupe Kinglion yangu Mpya KM elf4.Wakuu kuna chaka nipo kama mnavojua najihusisha na mambo ya uvuvi na sehemu niliopo kuna changamoto ya usafiri maana ni porin sasa nilikuwa nahitaji mtu ambaye tunaweza kuingia mkataba akanikopesha pikipiki 2 aina ya haojue mninga cc 125.
Kama kuna yeyote atakuwa tayari pm ipo wazo kwa makubaliano
Mkuu kinglion zinawahi kuchoka mashine kma umewah tumia haojue mninga utakuwa unanielewaNjoo na 2.1M nikupe Kinglion yangu Mpya KM elf4.
Njoo na 1200,000/= nikupe pikipiki mya boxer unipe 10000 Kwa siku...
Upo dsm...?Nipe hiyo me nikupe hiyo hesabu ya 10k
Upo dsm...?
Kuna kampuni inaitwa watu wanakopesha pikipiki mpya kabisa kama upo willing nikuunganishe nao ila ni lazima uwe na laki 4 kianzio na mdhamini mmoja mwenye kitambulisho halali...na wewe pia uwe na kitambulisho chochote halali...{vitambulosho halali ni vile vilivyotolewa na serikali tu} ukiwa navyo hivyo kesho mapema tu unachukua pikipiki Yako mpya kabisaNdio nipo dsm nakaa kitunda Nina ofisi yangu sinza Mori jirani na sheli ya Bigbon Karibu pm.
Kuna kampuni inaitwa watu wanakopesha pikipiki mpya kabisa kama upo willing nikuunganishe nao ila ni lazima uwe na laki 4 kianzio na mdhamini mmoja mwenye kitambulisho halali...na wewe pia uwe na kitambulisho chochote halali...{vitambulosho halali ni vile vilivyotolewa na serikali tu} ukiwa navyo hivyo kesho mapema tu unachukua pikipiki Yako mpya kabisa
Halafu kwa siku unapeleka kiasi gani?Kuna kampuni inaitwa watu wanakopesha pikipiki mpya kabisa kama upo willing nikuunganishe nao ila ni lazima uwe na laki 4 kianzio na mdhamini mmoja mwenye kitambulisho halali...na wewe pia uwe na kitambulisho chochote halali...{vitambulosho halali ni vile vilivyotolewa na serikali tu} ukiwa navyo hivyo kesho mapema tu unachukua pikipiki Yako mpya kabisa
Hapana sio elfu kumi 15 kama ulivyo andika ni shilingi elfu 60500/= tu Kwa wiki hapo ukigawa Kwa 7 ni sawa na 8650 hivi Kwa siku...wako simple sana ukiwa teyari niambieHao Ndugu yangu wanataka 15 per day kwa miezi 10 ambayo kwa mie naetaka kutumia Kama usafiri wangu binafsi ni changamoto unaweza gombana na Watu bure
Kwa siku ni 8650 hivi maana wao wanatoza 60500 Kwa wiki...hiyo ni Kwa pikipiki ambayo ni cc 125 boxer au Tvs... Cc 150 ina gharama yakeHalafu kwa siku unapeleka kiasi gani?
Halafu kwa siku unapeleka kiasi gani?
Kwa siku ni 8650 hivi maana wao wanatoza 60500 Kwa wiki...hiyo ni Kwa pikipiki ambayo ni cc 125 boxer au Tvs... Cc 150 ina gharama yake
Hapo ninapo taka kukuelekeza ni kampuni sio mtu kama unavyodhani wewe...ndio maana wao Wana kianzio cha shilingi laki nne...!Wengi wanataka 15 cash kwa miezi kumi na ikitokea umeshindwa Yaani umepeleka pesa kwa miezi sita ukashindwa pesa yako uliopeleka miezi yote hiyo hairudi na Mali Yao wanachukua mikataba Yao migumu
Kwa muda gani?. Je wanakopesha mpaka mikoani?Hapana sio elfu kumi 15 kama ulivyo andika ni shilingi elfu 60500/= tu Kwa wiki hapo ukigawa Kwa 7 ni sawa na 8650 hivi Kwa siku...wako simple sana ukiwa teyari niambie
Ngoja nikutumie mchanganuo wao wa malipo uonehuyo hapo amechukua huyo mkopo mwezi wa nne na hivyo ndivyoNi pm tafadhari
Kwa mkoani awakopeshi ni lazima uwe dar es salaamKwa muda gani?. Je wanakopesha mpaka mikoani?