Nlibadlisha mkono lakini wapiHebu angalia mkono hapo nahisi ndo kuna shida hapo
Mtafute fundi mzuri anayezijua boxer aziadjust, ilishawahi nitokea mara kwa mara fundi anaadjust sahv haichukui hata siku 3 zinagonga tena. Kuna fundi nilimpata aliniadjustia mara mbili tu nikasahau kabisaShida. yangu pia tapeti zinapiga kelele Sana, hata wakiadjust
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile ap