nobodylikedme
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 742
- 766
kwa sababu serikali yako haijaweka mfumo mzuri wa sheria unasimamia maslahi ya mwajiriwa na mwajiri kwa usahihi. yaani hakuna sheria ambayo inatoa uhakiki wa haki za mwajiriwa na mwajiri kwa hiyo hapo mwenye kisu kikali ndio ana mlalia mwenzake. kwa bahati mbaya hapa tanzania mwajiri mara nyingi ndio huwa anakuwaga mwenye kisu kikali. mdio maana leo hii hata wewe unaweza ukaanzisha kampuni yako halafu vibarua ukaamua hata uwalipe shilingi elfu moja kwa kutwa na hakuna wa kukupigia kelele ilimradi mlikubaliana toka awali.Sijui kwanini Wahindi wanakuja kutunyanyasa nchini mwetu?
Serikali hasikii haya yote.
serilkali yako iko kwenye busy na kujenga viwanda vya kufikirika wala haina muda na ku review mambo muhimu kama haya ya ukiukwaji wa haki kwenye sekta ya ajira.