Kwani green guard wanapewa mafunzo ya kijeshi?
Au Muya si meja wa jeshi?
Naomba ufafanuzi
kutokana na marehemu kuwa Mkufunzi wa watesaji na wauaji wakubwa waliothibitishwa nchi nzima , basi bila shaka mahali atakapowekwa na MWENYEZI MUNGU panafahamika .
Hatimae Ccm yapoteza nguvu Kazi nyingine baada ya Kifo Cha Ghalfa kwa MEJA MUYA aliekuwa mkufunzu mkuu wa Green Gard kilichotokea siku ya Juma nne ..!!
GreenGurd wamezagaa kila mahali..
Kifo kimetokea katika Hospital ya KCMC .!!
Anazikwa nyumbani kwake Moshi mtaa wa Chekereni ya Bonite...!!
Ni watu wa ajabu sana wanaofurahia vifo. vya wenzao nafikiri ninyi ni wachawi. NO! NO! NO! NOOO! tunahuzunika pale tu anapokufa shujaa k.v MWL.NYERERE, na hata ROBERT MUGABE.