Pigo kwa Kwa Ccm tena...!!!

TOFU

JF-Expert Member
Aug 26, 2012
573
196
Hatimae Ccm yapoteza nguvu Kazi nyingine baada ya Kifo Cha Ghalfa kwa MEJA MUYA aliekuwa mkufunzu mkuu wa Green Gard kilichotokea siku ya Juma nne ..!!
GreenGurd wamezagaa kila mahali..
Kifo kimetokea katika Hospital ya KCMC .!!
Anazikwa nyumbani kwake Moshi mtaa wa Chekereni ya Bonite...!!
 
Amepata nini tena . ... Poa wapo wengine watakaoshuhudis ukombozi wa Pili wa Jamuhuri yetu
 
Kwani green guard wanapewa mafunzo ya kijeshi?

Au Muya si meja wa jeshi?

Naomba ufafanuzi
 
kutokana na marehemu kuwa Mkufunzi wa watesaji na wauaji wakubwa waliothibitishwa nchi nzima , basi bila shaka mahali atakapowekwa na MWENYEZI MUNGU panafahamika .
 
poleni wafiwa ila CCM laiti hata mawe yangepiga kura tanzania mngeambulia aibu kama aliyoipata JK 2010 NA KUCHAKACHUA KURA ILA MWENYEZI MUNGU YUPO
 
rest in ...... green guard master
nadhani yupo miongoni mwa hawa.
 
Attachments

  • 1387380269094.jpg
    1387380269094.jpg
    51.5 KB · Views: 550
Hatimae Ccm yapoteza nguvu Kazi nyingine baada ya Kifo Cha Ghalfa kwa MEJA MUYA aliekuwa mkufunzu mkuu wa Green Gard kilichotokea siku ya Juma nne ..!!
GreenGurd wamezagaa kila mahali..
Kifo kimetokea katika Hospital ya KCMC .!!
Anazikwa nyumbani kwake Moshi mtaa wa Chekereni ya Bonite...!!

Hivi hichi chuo kipo wapi na wanatoa mafunzo gani hasa?
 
aisee huyu mchaga alikosea njia kweli anywa

rip mkuu ulale pema peponi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom