Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,417
- Thread starter
- #21
Mnahangaika sana kuichafua CCMMapigo ninayoyajua, pigo la kwanza Tyson amtwanga mwenyekiti wake, 2 lugola ampasua mtu kwenye kujinadi , 3 ndugai nisura aue kwa pigo zito sana! 4 nape akatwa na pccb, 5 mwigulu nae ang'ang'aniwa na takukuru,6 anne kilango aacha gari yake kwa mbio baada ya kufumwa akitoa rushwa! haya ni baadhi tu ya mapigo yanayojulikana!