Pigo CHADEMA: Katibu wa BAVICHA Iringa abwaga manyanga, Ajiunga CCM

Tubu wewe unaekaa kuandaa bajeti ya maendeleo kisha unapopewa unashirikiana na mkurugenzi kuwalipa madiwani wako hela zote,
mwisho wa siku unachangisha wananchi fedha za ujenzi wa shule.Hakuna madawati ,vitabu,maabara lakini zipo fedha za kulipa posho lukuki kwa watendaji,wenyeviti,na madiwani@ kikao huku ukiweka kasma ya maendeleo na matumizi ya kawaida smbazo fedha zote hizo zimeishia mikononi mwenu
Wewe tuambie hapa dawati moja tsh 80,000/=,lakini wewe unajilipa posho ya tsh200,000/=, ni lini watoto kama wa itigi utawapatia madawati?
Sasa hivi mmekomba ml2000 ili mkanunue viongozi chadema ,ngoja wazichukue harafu mtaelewa tu 2015
 
Hakuna cha pingo kwachadema hp kahongowa na amemua kujiunga na chama cha mafisad boro kasepa mwenyewe

Ivi kila anayehamia ccm kutoka chadema kahongwa? Hamjui chama chenu kimepoteza mvuto kwa wananchi na sasa wanatumia mgongo wa ukawa ambao muda ukifika wa kumchagua nani agombee utasambaratika!! Jipangeni
 
jamaa amechanganyikiwa baada ya kupata taarifa ya vikao vya kumjadili vya chadema ili atimuliwe baada ya ushahidi kukamilika kuhusiana na kuhujumu chama iringa kalenga,akapigwa stop mpaka katika mambo ya chama mpaka maamuzi ya kikao yatoke baada ya ushahidi,hivyo amejiwahi mapema kabla ya kutimuliwa kwakua chadema iringa ina taarifa zake kuhujumu chama kalenga na uchaguzi wa udiwani kata ya genge huko muheza tanga alipokuwa amepewa kazi kumnadi mgombea udiwani kata hiyo_lakini safari njema itabidi awaombe msamaha ccm

Mtashikana uchawi mpaka basi
 
kama hii taarifa yako ni sahihi, basi ina maana katika vikao vilivyomjadili huyu kijana bado kuna masalia aliyemtonya kusepa mapema. huyo masalia atambuliwe na kufurumshwa mapemaa. atavujisha na mengine huyo....
 
Hivi mtu akiamwua tofauti na unavyofikiri wewe kachanyikiwa au kahongwo!
Ndiyo maana manakurupuka kuwafukuza viongozi kwa sababu demokrasia chandema hatuna lazima watu wote wafikiri sawa na Dr. Slaa aliyeshidwa na nyumba yake na kuchepuka nani atampa nchi.
Vijana fikirini vizuri acheni mawazo ya kupandikizwa

Dogo, shule za kata ni hatari sana kwa jamii ya watanzania!
 
Hatuna vyama vya upinzani wa kweli tanzania ni sanaa sanaa tu za waganga njaa.

Wenzio wote huku Simiyu wameishakombokea wewe Simiyu yetu naona bado.
Kama hakuna upinzani mngekuwa mnawanunua wanachama na viongozi wa Upinzani kama:
1. Lamwai
2. Fundikira
3. Makongoro
4. Kaburu
4. Mrema
5. Mwampamba
6. Nyakarungu
6. Mrembo Juliana Shonza
7. Kitila Mkumbo
8. Zitto Kabwe
Just to mention few.
Na bado unaendelea na huo mradi wenu wa kununua watu ili kuushofisha upinzani na kwa jina la MWENYEZI MUNGU hamtaweza tena kwani tupo wengi ambao hatununuliki na tunategemea ukombozi wa pili kutoka kwa MAFISADI NA MAJANGIRI wa maccm.
 
hata juliana shonza alirudi ccm tena kwa mbwembwe nambieni aliko ndani ya ccm kama sio bulembo Nape na kinana.
 
jamaa amechanganyikiwa baada ya kupata taarifa ya vikao vya kumjadili vya chadema ili atimuliwe baada ya ushahidi kukamilika kuhusiana na kuhujumu chama iringa kalenga,akapigwa stop mpaka katika mambo ya chama mpaka maamuzi ya kikao yatoke baada ya ushahidi,hivyo amejiwahi mapema kabla ya kutimuliwa kwakua chadema iringa ina taarifa zake kuhujumu chama kalenga na uchaguzi wa udiwani kata ya genge huko muheza tanga alipokuwa amepewa kazi kumnadi mgombea udiwani kata hiyo_lakini safari njema itabidi awaombe msamaha ccm

Chadema kila ikiangukia pua haikai ikatafakari na kujipanga inakimbilia hoja za kuhujumiwa, Hivi mlitarajia kushinda Ubunge Kalenga? na Chalinze aliwahujumu nani au mnasubiri mwingine avue gwanda nae mmwambie aliwahujumu!
 
Wana matarajio na matamanio makubwa kweli kweli ambayo wanayataka ndani ya muda mfupi. Hii ndo njia ya mkato. Hawa Ni wasioijua kesho. Hawa wanaweza kufanya lolote ilimradi mkono uende kinywani. Afadhali huyu kuliko anayekubali kuwa punda au container. Wakikua wataacha.
Tuwaombee kwa Mungu awape maisha marefu watu wa aina ya huyu ili wakati wa ukombozi washuhudie.

Angekua na akili angejifunza kwa Juliana Shonza na Stela mwampamba waliahidiwa ukuu wa wilaya lkn leo wako wapi
 
jamaa amechanganyikiwa baada ya kupata taarifa ya vikao vya kumjadili vya chadema ili atimuliwe baada ya ushahidi kukamilika kuhusiana na kuhujumu chama iringa kalenga,akapigwa stop mpaka katika mambo ya chama mpaka maamuzi ya kikao yatoke baada ya ushahidi,hivyo amejiwahi mapema kabla ya kutimuliwa kwakua chadema iringa ina taarifa zake kuhujumu chama kalenga na uchaguzi wa udiwani kata ya genge huko muheza tanga alipokuwa amepewa kazi kumnadi mgombea udiwani kata hiyo_lakini safari njema itabidi awaombe msamaha ccm

Chagadema bana hamkawii kumwita muhaini eti kisa imeona kweli na akaifuata.
 
Vijana wengine ambao bado mko cdm igeni mfano huu mzuri..karibuni ccm bado nafasi zipo wazi
 
View attachment 160417

Kinachofurahisha kwa CDM na kusikitika kwa CCM ni pale CCM wanapotumia gharama kubwa kumrubuni mtu au kiongozi mmoja wa CDM na kuondoka lakini huku akiacha wafuasi wa CDM katika eneo lake wakiendelea na CDM kitu ambacho hakionyeshi kuleta madhara kwa CDM sanasana madhara yanakuwa kwa CCM kwa hizo fedha wanazotoa.
 
jamaa amechanganyikiwa baada ya kupata taarifa ya vikao vya kumjadili vya chadema ili atimuliwe baada ya ushahidi kukamilika kuhusiana na kuhujumu chama iringa kalenga,akapigwa stop mpaka katika mambo ya chama mpaka maamuzi ya kikao yatoke baada ya ushahidi,hivyo amejiwahi mapema kabla ya kutimuliwa kwakua chadema iringa ina taarifa zake kuhujumu chama kalenga na uchaguzi wa udiwani kata ya genge huko muheza tanga alipokuwa amepewa kazi kumnadi mgombea udiwani kata hiyo_lakini safari njema itabidi awaombe msamaha ccm

asante kwa kumuanika .
 
Back
Top Bottom