Katibu wa CHADEMA Iringa, Oscar Ndale amehamia CCM

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
CHADEMA YAZIDI KUPUKUTIKA.

Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Iringa Oscar Ndale amejiondoa kwenye chama hicho leo 5/1/2018 na kujiunga na chama cha mapinduzi (Ccm )mda huu mjini Iringa kwa kile alichodai kupoteza mwelekeo kwa chama hicho.

Katibu huyo ameutupia lawama uongozi wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kutokushughulikia migogoro ya Chama hicho mkoani Iringa kwa kumkumbatia Mbunge wa Iringa mjini Mhe.Peter Msigwa ambaye anadaiwa kuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama hicho mkoani Iringa
 
1.jpg
 
Back
Top Bottom