Pigo CHADEMA: Katibu wa BAVICHA Iringa abwaga manyanga, Ajiunga CCM

ommy255

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
1,042
1,195
Hakuna cha pingo kwachadema hp kahongowa na amemua kujiunga na chama cha mafisad boro kasepa mwenyewe
 
TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,601
2,000
Vijana wengi wanafanya ujasiria mali katika hii sekta ya siasa, ujue amekunja mshiko toka Lumumba.

Ni aibu kwa kijana kukimbilia mzoga, CCM kwa ajili tu ya tamaa. Hatari kweli, namba ya mafisadi inaongezeka.
 
Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
887
0
jamaa amechanganyikiwa baada ya kupata taarifa ya vikao vya kumjadili vya chadema ili atimuliwe baada ya ushahidi kukamilika kuhusiana na kuhujumu chama iringa kalenga,akapigwa stop mpaka katika mambo ya chama mpaka maamuzi ya kikao yatoke baada ya ushahidi,hivyo amejiwahi mapema kabla ya kutimuliwa kwakua chadema iringa ina taarifa zake kuhujumu chama kalenga na uchaguzi wa udiwani kata ya genge huko muheza tanga alipokuwa amepewa kazi kumnadi mgombea udiwani kata hiyo_lakini safari njema itabidi awaombe msamaha ccm
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,496
2,000
Lunyungu huyu wa JF? Ameshindwa ndoa ya kisagaji baina wanawake wa tatu?(CUF, NCCR na wao)
 
Last edited by a moderator:

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
2,000
jamaa amechanganyikiwa baada ya kupata taarifa ya vikao vya kumjadili vya chadema ili atimuliwe baada ya ushahidi kukamilika kuhusiana na kuhujumu chama iringa kalenga,akapigwa stop mpaka katika mambo ya chama mpaka maamuzi ya kikao yatoke baada ya ushahidi,hivyo amejiwahi mapema kabla ya kutimuliwa kwakua chadema iringa ina taarifa zake kuhujumu chama kalenga na uchaguzi wa udiwani kata ya genge huko muheza tanga alipokuwa amepewa kazi kumnadi mgombea udiwani kata hiyo_lakini safari njema itabidi awaombe msamaha ccm
Mbona hamjawahi kulisema hilo? Mmeanza kuweweseka baada ya jamaa kurudi njia kuu. Mtajibeba
 
singsong

Member
May 7, 2014
78
0
Hivi mtu akiamwua tofauti na unavyofikiri wewe kachanyikiwa au kahongwo!
Ndiyo maana manakurupuka kuwafukuza viongozi kwa sababu demokrasia chandema hatuna lazima watu wote wafikiri sawa na Dr. Slaa aliyeshidwa na nyumba yake na kuchepuka nani atampa nchi.
Vijana fikirini vizuri acheni mawazo ya kupandikizwa
 
bujash

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
3,468
0
huyo mchumia tumbo bora kaondoka,cdm haihitaji watu kama yeye wanaofikiri kwa kutumia tumbo! Naskia jamaa alikuwa na tuhuma kibao za kuhongwa na magamba ili awe anasaliti chama.Njaa itawapoteza vijana wengi wanaotamani mambo makubwa bila kufanya kazi.
 
CHIBOLO 1

Senior Member
Aug 23, 2013
110
0
Hivi chadema inamatatizo gani mtu kama ajahama cdm safi akibadili msimamo kashifa kibao acheni siasa za kishamba
 
bujash

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
3,468
0
Hivi mtu akiamwua tofauti na unavyofikiri wewe kachanyikiwa au kahongwo!
Ndiyo maana manakurupuka kuwafukuza viongozi kwa sababu demokrasia chandema hatuna lazima watu wote wafikiri sawa na Dr. Slaa aliyeshidwa na nyumba yake na kuchepuka nani atampa nchi.
Vijana fikirini vizuri acheni mawazo ya kupandikizwa

Ana tuhuma za kuhongwa huyo,bora kaondoka kabla hatujamfukuza kama mbwa.Wote tunazijua mbinu za magamba kuwanunua vijana wasiojitambua,hata mimi walishawahi kunifata mara nyingi wakagonga kisiki!
 
kirikuu10

JF-Expert Member
May 4, 2014
249
0
Hivi mtu akiamwua tofauti na unavyofikiri wewe kachanyikiwa au kahongwo!
Ndiyo maana manakurupuka kuwafukuza viongozi kwa sababu demokrasia chandema hatuna lazima watu wote wafikiri sawa na Dr. Slaa aliyeshidwa na nyumba yake na kuchepuka nani atampa nchi.
Vijana fikirini vizuri acheni mawazo ya kupandikizwa
Lazima iwe hivyo sababu hakuna mtu mwenye uchungu na taifa hili atakaye kwenda ccm kwa hiari yake hilo lipo wazi kabisa ndani ya ccm ni kutetea chama na mafisadi na wala rushwa hivyo hakuna mtu mwenye akili timamu atakaye ungana na ccm hata siku moja.
 
kirikuu10

JF-Expert Member
May 4, 2014
249
0
Hivi chadema inamatatizo gani mtu kama ajahama cdm safi akibadili msimamo kashifa kibao acheni siasa za kishamba

Umwsha ambiwa kuwa hakuna mwanchi mwenye uchungu na taifa hili ataye jiunga na ccm kwa hiyari sababu ccm ni kundi la wanyang'anyi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom