Pigo CHADEMA: Katibu wa BAVICHA Iringa abwaga manyanga, Ajiunga CCM

Watanzania wanaibaini cdm kwa usani wa Tz. Tunaitaji ukombozi wakweli sio kachumbali na mihogo ya kukaanga
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    65.4 KB · Views: 84
Huyo ni sawa na pepo mchafu kaamua kujitoa mwenyewe kabla nguvu Ya Mungu haijamfikia, nenda "Chama Cha Mizimu" pepo mchafuuuuuuu
 
Pro-ccm huwa mnakuja na very soft issues ambazo hazina faida kwa maisha ya mwananchi wa kawaida. This is no longer a forum for great thinkers with very national issues..is a propaganda forum..
Yes kajiunga,ni haki ya kidemokrasia kama raia. Let's go back to issues zenye impact kwetu sote kama taifa.
The IPTL BILLIONS,The MAFISADI WA ELIMU (kile kitabu kilitaja majina ya viongozi wetu wenye elimu za kugushi).. Why dont we come up with such topics?? How did it go with EPA? Nani na nani wamerudisha pesa na kiasi gani. Rudisheni heshima ya jukwaa. Elimu ya wadogo zetu inachungulia kaburi,huduma za afya in government hospitals ni mbovu na duni,rasilimali zateketea, mikataba mibovu,why do we run away from such issues??? Nchi inayumba (Mjane wa Mwalimu ametoa angalizo). Vijana tumelogwa na nani????? Mnatumiwa vibaya.. Mnachapisha Tshirts kwenda kwa Mjane wa mwalimu kujikomba kwa mambo ya kubuni,Kwa nini msichapishe fulana tittled RUDISHA AZIMIO LA ARUSHA kisha mkaenda kwa Mama Maria?? Tuamke vijana.
 
hana akili huyo inaonekana kahongwa ndio maana kaachia ngazi,hatutaki mamluki chadema,acha aende huyo,mtu mmoja hawezi kutusumbua,peoples powerrrrrrrrrr
 
Kama yeye ni kidume kweli wa siasa angesubiri maamuzi ya chama juu yake'
 
Hapo unajanishawishi kwa kusema hakuna mtu mwenye akili atajiunga Ccm akawa na akili timamu. Hivi unafuatilia mikutano yake inayoendelea nchini? Huo umati hauna akili! Ni kwa nini kila mwaka wananchi eanakiamini na kueaparidhaa.
 
Tatizo vijana wengi wanafanya siasa ndo ujasirimali.

Wana matarajio na matamanio makubwa kweli kweli ambayo wanayataka ndani ya muda mfupi. Hii ndo njia ya mkato. Hawa Ni wasioijua kesho. Hawa wanaweza kufanya lolote ilimradi mkono uende kinywani. Afadhali huyu kuliko anayekubali kuwa punda au container. Wakikua wataacha.
Tuwaombee kwa Mungu awape maisha marefu watu wa aina ya huyu ili wakati wa ukombozi washuhudie.
 
Hapo unajanishawishi kwa kusema hakuna mtu mwenye akili atajiunga Ccm akawa na akili timamu. Hivi unafuatilia mikutano yake inayoendelea nchini? Huo umati hauna akili! Ni kwa nini kila mwaka wananchi eanakiamini na kueaparidhaa.
Ccm ni dawa maumivu makali ya jino
 
Acha upimbi na kuwaadaa watu wewe unauchungu upi na nchi hii. Hivi ukiwa na uchungu unaamasisha wananchi kugoma au kufanya kazi. Uchungu wewe umelisaidiaje taifa
 
Hatuna vyama vya upinzani wa kweli tanzania ni sanaa sanaa tu za waganga njaa.
Ccm inajitahidi kununua watu ,zile ml200 ,zinazunguka,watanzania ukipewa chukueni ,kisha 2015 wafundisheni nini maana ya maendeleo.kwa kushindwa kuleta maendeleo mnadhani mtanunua nchi nzima,ndio maana mishahara duni,malipo ya madai ya walimu hakuna,hospitali dawa hakuna,maaskari maisha duni,barabara hovyo,bandari mtwara na Tanga hazijengwi kwa sababu ya kutafuta viongozi wa chadema wahame?
Hata hivyo hawa jamaa wapenda vijisenti wanaouza ardhi,madini tembo wengi wako huko unakokwenda,Azimio la Arusha chadema linatuongoza ndio maana umeona uwahi mapema kukimbia kabla hujaadhibiwa
 
ccm..ccm haaaaa.. chama cha mapinduzi...ccm namba moja..

Mkuu karibu sana ccm, ujifunze siasa safi na za kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom