PIGA SHOTI UBONGO (Short-Circuit Your Brain ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PIGA SHOTI UBONGO (Short-Circuit Your Brain )

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Dec 29, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,998
  Likes Received: 3,564
  Trophy Points: 280
  PIGA SHOTI UBONGO (Short-Circuit Your Brain ) Angalia table ya maneno hii, Kisha sema RANGI ya neno SIO kusoma neno lenyewe

  [​IMG]  Kwanini ni vigumu? Kwasababu upande wa kulia wa ubongo wako unajaribu kusema rangi ya neno na upande wa kushoto wa ubongo wako unajaribu kusema neno lenyewe
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,482
  Likes Received: 9,895
  Trophy Points: 280
  Tamu sana hii..
  Lakini je, inatufundisha nini??
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,660
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Tusichanganye mambo kama viongozi wetu wa siasa!
   
 4. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufulia na kuogea yote ni sawa tu!
   
Loading...