Piga Kura: Mkuu wa Mkoa Bora 2018

Piga Kura: Mkuu wa Mkoa Bora 2018

Anthony Mtaka ni mkuu wa mkoa wa Simiyu siyo Katavi. Labda kama unamwongelea Mtaka Mwingine.
 
Baadhi ya wakuu wa mikoa wameonekana kutekeleza vyema sera ya maendeleo na pia wameomyesha sura za kiuongozi katika maeneo yao.

Kati ya wafuatao yupi unadhani ji bora zaidi

1. Katavi (Mtaka)
2. Tabora (Mwamri)
3. Geita (Gabriel)


Wamejitahidi sana kusimamia mambo yanayo igusa jamii. baadhi ya mambo ambayo wameyasimamia.

1. Robert Gabriel: Amesimamia fedha zinazo toka migodini (CSR) kwa kuhakikisha zinajenga zahanati kwa kila kijiji.

2. Mtaka : Ameonyesha uongozi kwanza kwa kupiga marufuku viongozi kuwekwa rumande bila sababu ya msingi.

3. Mwamri: Amesimamia vyema swala la ndoa za utotoni kwa mkoa wa tabora ndio unaongoza kwa ndoa za utotoni.


Yapo mengi lakini jambo la msingi ni uongozi wao umeonekana sio wa kukurupuka na kutaka kiki.

Piga kura yako.
Mtaka ni RC wa SIMIYU sio KATAVI.
 
Zile option za kupiga kura kwanini ziliondolewa huku JF?
Ningeshauri kuwe na polls 4 ambazo zitakuwa active throughout the year.

1. Approval rating ya Rais.
2. Approval rating ya performance ya Bunge lote.
3. Mbunge anayeonyesha performance kuwatetea wananchi. Per parliamentary session.
4. Mwanasiasa wa mwezi.

Mods wezesheni haya.
 
Zile option za kupiga kura kwanini ziliondolewa huku JF?
Ningeshauri kuwe na polls 4 ambazo zitakuwa active throughout the year.

1. Approval rating ya Rais.
2. Approval rating ya performance ya Bunge lote.
3. Mbunge anayeonyesha performance kuwatetea wananchi. Per parliamentary session.
4. Mwanasiasa wa mwezi.

Mods wezesheni haya.

Tusisubiri mpaka twaweza waje na hizi opinion polls.
Hata huku JF tunaweza.
 
Jiji la DSM lilipaswa kuwa na mtu kama Mtaka Antony ndio lingekaa vizuri. Kiongozi huhitaji kufanya kiki bali mambo unayofanya ndio yakupe kiki. Mtaka has tried.
 
Vipi kuhusu Makonda?Amesimamia vita ya dawa za Kulevya na Wema ameacha kuvuta bange
 
Back
Top Bottom