much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,065 Reaction score 21,549 Mar 31, 2019 #21 Mpinzire said: Bongo banah! Nilimsikia kitale wakati anafanya interview kwenye The Bartender Wasafi Tv alisema "Katika vitu ambavyo vimenishangaza eti yule Liquid nae anasairi nje kwenda kufanya show..! Jamani" Mwisho wa kunukuu Click to expand... Kweli watu roho zinawauma. Piere atabaki kuwa juu Sent using Jamii Forums mobile app
Mpinzire said: Bongo banah! Nilimsikia kitale wakati anafanya interview kwenye The Bartender Wasafi Tv alisema "Katika vitu ambavyo vimenishangaza eti yule Liquid nae anasairi nje kwenda kufanya show..! Jamani" Mwisho wa kunukuu Click to expand... Kweli watu roho zinawauma. Piere atabaki kuwa juu Sent using Jamii Forums mobile app
Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,689 Reaction score 26,570 Mar 31, 2019 #22 dafity said: Weka sosi ofu infomeshen yako. Kumbe unaishi SUA Magadu kama kama mwanakijiji eeeh! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sosi ofu info ni nelisoni wa sua morogoro
dafity said: Weka sosi ofu infomeshen yako. Kumbe unaishi SUA Magadu kama kama mwanakijiji eeeh! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sosi ofu info ni nelisoni wa sua morogoro
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,366 Reaction score 2,180 Mar 31, 2019 #23 Lihove2 said: Shilole si ni yule dada anayependaga kuongea kingereza kibaya kwa ujasiri mkubwa?Huyo angalau nimeona mantiki yake lakini siyo mlevi. Click to expand... Kwani anapokuwa kwenye shughuli kama hizo anakuwa amelewa?
Lihove2 said: Shilole si ni yule dada anayependaga kuongea kingereza kibaya kwa ujasiri mkubwa?Huyo angalau nimeona mantiki yake lakini siyo mlevi. Click to expand... Kwani anapokuwa kwenye shughuli kama hizo anakuwa amelewa?
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,988 Reaction score 5,649 Mar 31, 2019 #24 Makondakta ni fa@alaaa Sana anapenda kuharibu shughuli za watuuu, hivi alialikwa wa nini huyu??? Zero bashiteee Sent using Jamii Forums mobile app
Makondakta ni fa@alaaa Sana anapenda kuharibu shughuli za watuuu, hivi alialikwa wa nini huyu??? Zero bashiteee Sent using Jamii Forums mobile app