Jk je lini ataandaa?
Kwani siku hizi hakuna zile zilikuwa zamani zinaitwa zifa ( sp) za kitaifa?
Nimegundua siku hizi watu wakiona kitu kimetokea ulaya wanadhani kwetu huwa hakitokei. Huwa kuna mapokezi rasmi ya wageni wa kitaifa, na kuna wapishi wengi wazuri hapo Tanzania ambao huwa wanaandaa vyakula. Wanjeshi wetu huwa wanapiga nyimbo za taifa za wageni wa kimataifa wanaokuja hapo Dar. Nadhani hivi vitu vinafanyika.
Tena kwa standard nzuri tu.