Picture of the week...mtu mzima analia!!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Hawa watu wameniuzi kweli kweli hata sina la kusema. Endeleeni kulia tu...pambaff!!!

_48120708_009592322-1.jpg
 
Mimi kwa kweli nikiikumba ile list ya kina Makanaky, emanuel kunde, Roger Milla na wengineo nalia na kushika kichwa kama huyo jamaa hapo juu
 
Mimi kwa kweli nikiikumba ile list ya kina Makanaky, emanuel kunde, Roger Milla na wengineo nalia na kushika kichwa kama huyo jamaa hapo juu
waafrika ndio tulivyo, ukiangalia mechi ya ivory coast na ureno, ile mechi ilikuwa ni ya kushinda, cameroon vs japan ilikuwa ya kushinda, nigeria vs greece, ilikuwa ya kushinda, ghana vs dhidi ya watu kumi denmark/australia hadithi ni hiyo hiyo, sasa sijui tutokea wapi, ingwa ghana bado wana nafasi lakini kucheaza na argentina ni kujitafutia balaa, ambalo wangeliepuka kwa kushinda mechi ya jana.
 
Hivi Waafrika ni lazima kushabikia timu za Afrika? Hatuwezi kushabikia timu inayocheza mpira mzuri zaidi?

Au ndiyo mambo ya racial pride hayo?

Mimi hata siudhiki sana kwa sababu Ivory Coast si kitu ambacho sikutegemea, kutegemea Ivory Coast kuifunga Brazil ni wishful thinking isiyoangalia ukweli.

Mimi usawa huu nitakuwa na falsafa ya "may the best team win". Huwezi kushangilia timu ambazo unajua haziwezi kushindana halafu zikishindwa unataka kupata ugonjwa wa moyo bure.
 
Rahisi sana kuket kwenye kiti ukitizama runinga na kuhukumu wachezaji walio uwanjani. It is an interesting world cup this one. Somewhere a sangoma must be claiming responsibility
 
nashindwa kuwaelewa wale wanaoingia majonzi kwa timu za afrika kushindwa! kwani mlitegemea iweje? wachukue kombe kwa kuwa timu fanali inachezwa Afrika Kusini?


Waafrika hatuko Serious bado ...................huwezi hata kulinganisha na timu kama Korea Kaskazini na New Zealand achilia mbali Korea Kusini na Japani!
 
6b8e60ebecdae01902a2da861c0d92e4-getty-wc2010-i_coast-brazil-supporters.jpg



A supporter of Ivory Coast cries after their national team lost their world cup match to Brazil, as crowds gathered to watch the game in Abidjan.
 
Kushabikia Boli la AFRIKA ni kutafuta ugonjwa wa Moyo bureee kabisa. Michezaji iko selfish sana ikifika golini inaingiwa na tamaa zagutua ili kila mtu afunge pumbafu kabisa hawa. Na kuanzia sasa hata Taifa stars tusiwacheke they ar all from the same mother
 
Back
Top Bottom