Picture of the day

Picture of the day

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
881534bbbc3881580f14de69d0060dfe.jpg
 
Umenikumbusha nyumbani enzi zetu, nyumba yetu ilikua inasifika kwakuwa na maua mazuri sana na ni kweli tulikua na maua mengi sana na eneo la nyumbani kwetu lilikua safi sana, tulikua na tunafagia uwanja asubuhi na jioni, asubuhi hunywi chai kabla ya kufagia eneo lako. Umenikumbusha mbaaaaaaaali sana wakati familia yetu ilipokuwa MOJA, duh, ngoja niishie hapa hapa
 
Kwani familia yenu siku hizi sio moja tena?
 
Ooh !
Mungu ni Mwema sana,kila iitwapo leo !!
 
Picha ya kwanza toka chini

Nimependa sana mazingira
 
Umenikumbusha nyumbani enzi zetu, nyumba yetu ilikua inasifika kwakuwa na maua mazuri sana na ni kweli tulikua na maua mengi sana na eneo la nyumbani kwetu lilikua safi sana, tulikua na tunafagia uwanja asubuhi na jioni, asubuhi hunywi chai kabla ya kufagia eneo lako. Umenikumbusha mbaaaaaaaali sana wakati familia yetu ilipokuwa MOJA, duh, ngoja niishie hapa hapa
Wapi huko mbaaali ipo Mkoa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom