Kuvaa tu kitambaa cha CCM au shati la CCM kunathibitisha vipi kwamba huyo mama ni mwanaCCM?
kwenye siasa mbinu za kutafuta ushindi ni nyingi.
Hata kama ni mama wa kutengenezwa dhamira ni kuonyesha kwamba wanaCCM wanamuunga mkono mgombea wa CHADEMA.
mbinu chafu na safi tutaendelea kuziona Arumeru
na wanachama wa ccm na cuf wakarudisha kadi na kuchukua za chadema.Nassari mtu wa watu. Jana Sing'isi kina mama waling'ang'ania Kumbeba mbunge wao Nassari..
Kitambaa cha CCM na baraka kwa CDM
Nassari mtu wa watu. Jana Sing'isi kina mama waling'ang'ania Kumbeba mbunge wao Nassari..
we mod mbona avator yako ya kibazamen sana..naomba ban hata ya siku moja basi chalii yanguKitambaa cha CCM na baraka kwa CDM
Kwa maneno haya uliyoandika bado una sifa za kuendelea kuwa "moderator" wa Jukwaa lolote humu JF? Mbona uko "bias"?Kitambaa cha CCM na baraka kwa CDM