Picture of the century

Kuna Maswali najiuliza Kwenye hiyo Picha,
1.Bob Marley alizaliwa 1945,
Hiyo picha Anaonekana ni Zaidi ya Miaka 30,Not below 30,
2.Mwaka 1967 Nelson Mandela Alifungwa Gerezani hadi Mwaka 1990.
3.Kwame Nkrumah Alifariki Miaka ya 1970s.
4.Muhammad Gaddafi Aliingia Madarakani Mwaka 1969 Tayari Mandela yupo Gerezani,
 
nadhani watakuwa wamechora kule aliyekaa wa mwisho si Marcus Garvey.

amefariki 1940 sasa kapigaje picha na Gadafi au Mandela??

au na Thomas Sankara?
 
Ni fake hiyo
 
Mandela, Sankara, Marcus, Ali, Ghadafi, marley, Nkurumah, Lumumba, Malcom...

hao wengine siwajui
 
Last edited:
Inawezekana kuna kizazi kilipita kilikuwa na akili na upendo mkubwa wa kumkomboa mwafrika mweusi kutoka minyororo ya ujinga na umaskini.
Kweli nami hua naona au kufikiria hivyo, mfano mkwawa, kinjeketile ngwale na wengine wengi yaani sijui kilikuwa ni kizaz cha dizain gani halafu angalia na kizaz cha sasa
 
ni 'fotoshop' ila imependeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…