Picture messages

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Wadau mara nyingi tunakutana na hizi picha ambazo zina jumbe(wingi wa ujumbe) mbalimbali na unavutiwa nazo.
Nimeona ni vema kupitia Uzi huu tushee picha ambazo tunaona ujumbe wake utawasaidia na wengine...

Haya twende kazi sasa angalia kwa gallery yako na ubandike hapa na wengine tupate.

Legooo.
Cc: mshana jr
 

Attachments

  • 1415794929627.jpg
    26.2 KB · Views: 4,126
Last edited by a moderator:
Inaonekana patakuwa na vitu vizuri sana hapa.big up kwa wazo chili mkuu
 
Hahaha mkuuu hio kitu siku nimetumiwa ilifanya nijitazame upya mtazamo wangu juu ya maana ya utajiri.
Hakika mkuu mwenye hapa imenipa darasa zaidi hakika nimeipenda sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…