Invisble275
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 982
- 1,166
all in all jihadist are bunch of cowards
nimekuja kwako nimepiga mke wako ukiwepo
wew unavizia nikiondoka kwangu upige watoto
kwann usi ni confront head on
these bunch of coward have no place in heaven nor on earth
Yaani mkuu hilo ndo swali??? Wanawaogopa hao Kdf wanakimbilia kuua watoto wa skuli. What a shame. Kama kweli wao ni askari wa kuikomboa Somali, wapambane na hao Kdf.
Kuna siku watoto wa shule walitekwa na magaidi wa Chechnya waliotumwa na Basayev kule Russia. Vikosi vya Russia vikavamia na watu zaidi 380 wakauawa wakiwemo watekaji. Hii ilikuwa katika mji wa Beslan nadhani mwezi September 2004.Hahahh hii inaitwa droo droo
Get informed the reason why Terrorists never kidnapp Russians.
Punguza panic mazee acha watu wajadili wanavyovifahamu usiwapangie,hiyo ndiyo maana halisi ya freedom of speech.Hili jukwaa limekuwa la kijinga sana siku hizi..watu wanazunguka zinguka huko na kuokota post za kijinga na kuzileta hapa..ikiisha hiyo wanavizia zito kapost nini facebook na kuja kumjadili hapa..ujinga ujinga tu
All we know is USSR CollapsedGet informed the reason why Terrorists never kidnapp Russians.
Mkuu Invisble275 usitumie neno never mahali ambapo huna uhakika kuna matukio kadha ya Warusi kutekwa na magaidi mfano shule moja ilitekwa,ndege yao ya abiria ilitekwa,jijini Moscow ukumbi wa snema ulitekwa name magaidi wakiwemo magaidi was like.Get informed the reason why Terrorists never kidnapp Russians.
Hili jukwaa limekuwa la kijinga sana siku hizi..watu wanazunguka zinguka huko na kuokota post za kijinga na kuzileta hapa..ikiisha hiyo wanavizia zito kapost nini facebook na kuja kumjadili hapa..ujinga ujinga tu
Hahahahaahahaha. Asante kunichekesha usiku.Haya basi uwe unatuletea mitihani ya kembriji kila siku kwenye posts zote za jf ili nasi tusiwe wajinga kama wewe....lafa kabisa wewe.
Hili jukwaa limekuwa la kijinga sana siku hizi..watu wanazunguka zinguka huko na kuokota post za kijinga na kuzileta hapa..ikiisha hiyo wanavizia zito kapost nini facebook na kuja kumjadili hapa..ujinga ujinga tu
Punguza panic mazee acha watu wajadili wanavyovifahamu usiwapangie,hiyo ndiyo maana halisi ya freedom of speech.