Picture can be very deceiving

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
1599587304693.png
 
Kumbe wewe ni ndege John na hii ni ID yako nyingine? Unaposti thread na kujijibu na ID zako zingine. Ondoa hii thread faster. MNAKERA
My apologies, nilikuwa ninaendesha. Someone nika changanya post ambayo umeni quote na post ambayo umemjibu Ndege John.
Mkuu lakini tupo kwenye jukwaa la picha. Zinawekwa picha watu au matukio mbali mbali duniani.
Kwa hiyo ulipoandika, “So what do you want us to do”. Ndio maana nikakujibu sio lazima kila kitu uchangie. Mtu akiweka picha ya Kanye West hapa kwako inaweza kuwa ni kosa.
 
Dah mkuu tumeshajua una Gari. Ama ulipomaanisha unaendesha ulikuwa unaharisha? Basi ni kati ya hizo mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom