kichwa cha habari chahusika, mwnye pickup aina ya toyota au nissan datsun nzima inayoweza tembea safari ndefu aweke details tufanye biashara. Iwe ni ya kuanzia mwaka 1995 kuja juu na iwe katika hali nzuri yenye uwezo wa kukaa kijiweni kupiga mzigo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.