Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
kuna siku tutanyweshwa sumu nchi nzima
kuna siku tutanyweshwa sumu nchi nzima
Mkuu nimeipenda hii hahahahahahaaaa!!!Kuna wale wajapani wanaojenga barabara, mwanzoni walikuwa na ofisi zao Jangwani..KOnoike!!???.wale walisema kama kuna Mungu basi kweli "head quaters" zake zipo Tanzania.
Lakini pia tukae tayari, wenye kampuni za kutengeneza madawa ya binadamu watawatuma serikali zao za france, UK, US waje watushambulie ili wazuie watu kuja TZ kupata hizo "sumu".
We wacha tu... uchumi wa TZ utatoka kwenye nakisi karibuni, tutatoa tiba kwa dunia yote, hela za utalii wa tiba zinakuja, TRA na Hazina na BOT wajipange vyema.
maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana atiii!
kuna siku tutanyweshwa sumu nchi nzima
Kuna wale wajapani wanaojenga barabara, mwanzoni walikuwa na ofisi zao Jangwani..KOnoike!!???.wale walisema kama kuna Mungu basi kweli "head quaters" zake zipo Tanzania.
Lakini pia tukae tayari, wenye kampuni za kutengeneza madawa ya binadamu watawatuma serikali zao za france, UK, US waje watushambulie ili wazuie watu kuja TZ kupata hizo "sumu".
We wacha tu... uchumi wa TZ utatoka kwenye nakisi karibuni, tutatoa tiba kwa dunia yote, hela za utalii wa tiba zinakuja, TRA na Hazina na BOT wajipange vyema.
maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana atiii!
Naona hizi sasa ni siku za mwisho ili maandiko yatimie ,napata mashaka