PICHANI ni MDOGO WAKE MAREHEMU KANUMBA...

PICHANI ni MDOGO WAKE MAREHEMU KANUMBA...

Tuwekee mdogo wake Suguta au yeye mwenyewe tutumie Sura yake kutishia watoto
 
mijitu mingine,hebu tuwekee na ya mdogo wangu,ya mdogo ake sajuki,hata mdogo ake kingwendu! huna story boy......!
 
Anataka kutoka kwa kutumia.jina la blaza aake, si unajua tena town. Walau wamuone waanze kumpa cast za watchman hivi. . .


Kwani wewe hujaona kwamba dogo anashindana na merehemu kaka yake kwenye urembo??


Babu DC!!
 
So.......????!!!


Kwani huoni kwamba dogo naye anapendeza??

Nadhani hapa watu wajiandae kwa maafa mengine....Someone to be another Lulu??

Kazi kweli kweli...lol!!


Babu DC!!
 
nitafurahi nkimuona mdogo wake Nape anafananaje,,,tuletee
 
Back
Top Bottom