Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

Tangu sasa hadi 2015 tutasikia na kuona mengi, msimu wa viroja hasa.

Mushrooming ya vijarida, magazeti, blogs, programme elekezi za Tv na radio, kuibuka vyama vya msimu, kuibuka wanasiasa wa msimu, kuibuka wale wajiitao "wachambuzi mahiri" wa msimu na waishio bila itikadi kuama vyama. Ni msimu wa wale wanasiasa wajionao "wateule" kupamba kurasa za mbele za magazeti na habari za Tv/Radio kwa kununua fursa. Ni msimu hasa wa wale wajanja wa mjini wanaojifanya mabingwa wa mikakati kutengeneza pesa kwa "kuwashika wateule".

Kwa sisi wafuatiliaji wa siasa za ushindani Tanzania tangu mwaka ule wa 1995 hatushangazwi na haya. Ni msimu tu kama ile ya hali ya hewa kwa mwaka...vuli, masika na hata kiangazi. Tofauti ni kuwa msimu huu wa harakati nyingi za kutwaa madaraka huwaacha wengine na enzi huku wengine wakiingia jehanamu.

Kila la heri washiriki wote, kipyenga ndo kimepulizwa hicho!!!
 
Wewe jiliana shoza, umawadanganya vijana kuwa mtawapatia ajira wakati wewe kwenyewe huna ajira, njaa.. Unatapatapa huma mwelekeo.. Unawanyima vijana wa uvccm ulaji wao.
 
Wewe jiliana shoza, umawadanganya vijana kuwa mtawapatia ajira wakati wewe kwenyewe huna ajira, njaa.. Unatapatapa huma mwelekeo.. Unawanyima vijana wa uvccm ulaji wao.

Unasema Juliana hana kazi wakati ni mlinzi no. 2 wa Nape, no. 1 akiwa Mwampamba.
 
Huyu bibie kafuata hongo au bwana? Ukisikia hata vyuo vikuu kuna digree zinaitwa "under pant degrees" huyu inawezekana nae alifaulu hiyo.
 

mbona wengine wamekaa kama machangudoa vile, pili hivi watu wanaohama wanatoka chadema tu hakuna wananchama wa vyama vingine. Nimeamini chadema ni lulu na vichwa vinavyowafanya ccm wasilale usingizi, kila mtu anatamani kuona wanachama wa chadema anahamia kwake

mbona kadi zenyewe hatuoni wakimkabidhi nape, wala kukabidhiwa kadi ya ccm, hii ni ishara kanda ya kaskazini wameichoka ccm hawataki hata kupokea kadi zake

peoplz power inawatesa kweli
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia


uje wap???njoo unafikiri huku utaleta u-marioo wako tutakufumua kweli ukituletea uchizi wako mgonjwa wewe
 
uje wap???njoo unafikiri huku utaleta u-marioo wako tutakufumua kweli ukituletea uchizi wako mgonjwa wewe

Hapa tu ndipo wanaponifurahisha CDM , wao wakikataliwa suluhisho ni ugomvi na kupanga njama za kigaidi (Ref: Rwakatare ni gaidi na ni kiongozi wa CDM).

 
Nape kaza buti wakeleketwa tupo nyuma yako na mkutano wetu wa kutisha
 

Huyo Lukosi naye cheo chake kingekuwa sawa na cha wale masalia wawili, kwa wanamagamba wangemuandika kama kada aliyehamia ccm kutoka chadema kama wanavyowapamba kina shonza na stella mwampamba. Lakini ukweli ni kwamba wote watatu (shonza, mwampamba na lukosi) wanastahili cheo cha WALIOFUKUZWA/WALIOTIMULIWA kutoka CHADEMA
 
Vij
a
[/QUOTE]
Hata mimi mapokezi haya nayapenda jamani?
CCM Oyeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Atafute sababu Arudi tena kwa Wachagga
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa, Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
we kuku niambie mchaga gani ni waziri! aggrey Mwanri ni Mchaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…