Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

Mungu anisaidie sana nina hasira na wanafiki na siwapendi kabisa!wanafiki kama Nape na wenzake!CCJ ?leo anakula matapishi!mroho wa madaraka!
 


Ina Maana haujaona MATUSI ya NAPE NNAUYE DHIDI ya WACHAGGA na CHADEMA? Kwahiyo haujui what is HATE? Kama ni wewe Unawapenda hao WATU sio NAPE NNAUYE... Ndie tunayemuongelea HAPA na NDIE KIONGOZI KIJANA ndani ya CENTRAL COMMITTEE ya CCM a RAW MODEL... Lakini wewe kwasababu Umejiunga na CCM hivi karibuni unajaribu kusahau na kutoangalia Mabaya yooote ya Baadhi ya Hao VIONGOZI Just to FULFILL your DREAMS...

Hayo ndio Matatizo ya SIASA za SHIDA za SISI Waafrica; tunawaza jinsi ya kuneemesha MATUMBO yetu hatutaweza kuwa wakweli; Kweli unaweza kuniambia kujiunga na CCM ni nini utafanya kukibadilisha? au hakihitaji MABADILIKO?

Kila kitu ni bora ndani ya CCM? Yaani CHADEMA ni MAFISADI zaidi ya CCM? frankly speaking... Mimi SIO CHADEMA nilikuwa CCM
 
Halima Mdee yupo bunju anawasha moto huko kwa wananchi,Zitto yuko Singida anawasha moto kwa wachimba madini wadogo wadogo na wakina msigwa wako Arusha wana washa moto m4c magamba na nape mnapiga ngoma na kutaliii kifupi mumekwisha mamaee zenu magamba,mumekwishaaa hamna hata la kufanya zaidi ya kuzurula malaya shonza yaani mnaona ndio mwokozi huyo kicheche ahahahaaaaaaaaa R.I.P ccm
 
 
sasa wameenda kufanya nini huko?!!! Si wachaga wana chama chao?!!! Mnawatukana wachaga nchi nzima halafu mnarudi kuwaomba wajiunge na ccm hizi si bangi jamani?

ndugu yaani wachaga wakijitokeza watakua ni mambulula wa hali ya juu sana,mtu ccm,kinawatukana nchana kutwa na kusema wanachama chao chadema,halafu wao wamchekee nawaomba wachaga msijihai bishe mwonyesheni nape na ccm nini ni hamtukanwiki kireja reja,haende huko bagamoyo,
 
"SIWEZI KUHAMIA CHADEMA, KWA SABABU MM SIO MCHAGA" - NAPE MOSES NNAUYE, 2012
cc Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
CCM haitapata wabunge tena kilimanjaro kwasababu ya kauli zao chafu! wakina mwampamba wataongea nini sasa!
 
Na usiasahau tamko la UVCCM mkoa wa pwani wakiongozwa na Prince Ridhiwan wametamka hadharani kwamba mrithi wa JK hawezi kutoka kanda ya kaskazini, na Sultani JK hajawahi kulikemea hili hata siku moja leo anasingizia kasomewa Itikafu!!
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Kweli wewe ni mgonjwa Dr. hakukuonea! Ungeenda huko kama nani vile? au unajiona wewe ni mtu mhimu sana katika CCM? Mbona uanajikweza sana wewe kapuku!
 
Na usiasahau tamko la UVCCM mkoa wa pwani wakiongozwa na Prince Ridhiwan wametamka hadharani kwamba mrithi wa JK hawezi kutoka kanda ya kaskazini, na Sultani JK hajawahi kulikemea hili hata siku moja leo anasingizia kasomewa Itikafu!!
Hao wanaosema kiongozi hawezi kutoka kanda ya kaskazini ndo wanaoigawanya nchi huku wakiwasingizia ni watu wa kaskazini wenye kufanya hivyo na wakati hatujawahi kuwa na rais kutoka kaskazini.

Kama kuna kosa kubwa ambalo tutalijutia ni kuchaguwa rais kutoka pwani.
 
Hivi huyu Shonza alifukuzwa chadema? au aliamua kuhama mwenyewe maana hapa namsikia anasema aliamua kuhama kutoka cdm
 
Hapo ndipo mjue kwamba INAHITAJI ROHO YA UZEZETA KWA KIJANA KUJIUNGA NA CCM...Tusuburi tusikie kama watasema CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGGA...Upumbavu ni hali mbaya ndugu zangu!TUUEPUKE!
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
We mla mbwa huwezi kusema chama hiki ni cha kabila hili halafu uende kwenye kabila lile upige sera kunadi chama chako, moja ni kuwaonesha watu hao kwa maana ya kabila huwapendi lakini pia hupo tayari wajiunge na chama chako kwani tayari umewachagulia Chama. Unajua ukiwa na domo usiloweza kuli'control' kama la Nape ni shida sana. Lakini tusimalaumu sana Nape maana yawezekana amechanganyikiwa baada ya kutotajwa jina lake kwenye kumbukumbu ya anayedai ni baba yake (Nnauye).
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia

Maelezo yako ya KINAFIKI hayasaidii...TUAMBIE,CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGGA,NAPE ameenda kujikosha au kupatanisha ndoa???! CCM ni UNAFIKI.Mwl.Nyerer aliwaambia kwenye kitabu cha TUJISAHIHISHE.
Mna hali mbaya wanafiki nyie!
 
Hivi huyu Shonza alifukuzwa chadema? au aliamua kuhama mwenyewe maana hapa namsikia anasema aliamua kuhama kutoka cdm
Jibu sahihi ni kwamba ALIFUKUZWA leo kapata jukwaa anageuza maneno kwamba alihamia CCM. Hata hivyo CCM ndo zao, kumbuka Bibi Kiroboto alivyomtetea mzee wa vijsenti akisema ni mwadilifu hivyo amemteua kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati yeye alishindwa kabisa kuzuia wizi wa fedha kupitia ununuzi wa rada halafu fedha yake anaficha nje badala ya kuwekeza nchini halafu anasifiwa kwa uadilifu, hiyo ndiyo CCM. Tambwe akiwa CUF wakati anagombea ubunge kule Temeke aliwahi kusema kwamba kurejea CCM ni sawa na kulala kwa maana ya kuzini na mama yake mzazi lakini alirudi na kuwa vuvuzela la CCM kwa muda.
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Wouh!wouh!wouh!!!we gamba ukishiba haya majamaa sio lazima uandike....kalale ujampe!!!
 
Sasa ni wakati wa kujipanga, wapambanaji na wachumia tumbo kila mtu anachukua nafasi yake, 2015 ileee pale.
 
masalia mashonza na mapamba ya masaburi tuliyafukuza na sio kwamba yamehama....masaburi wakubwa masisiem!!!
 
Vijana waliohama Chadema Moshi????? Well, Yona Makwaia is from Musoma, got primary and secondary education in Musoma Urban. He joined UDSM in 2010 (B.Education) and discontinued a year later. Later he was admitted at Ardhi University where he was discontinued too. Both at UDSM and ARDHI he was discontinued for low GPA. Under such circumstances......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…