Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
sijawahi kumwona lowasa ametilia walao ile kofia ya blakashia, maana nikisema kanzu na koti juu yake nitakuwa nimeenda mbali mno. Jana hapa alichojitahidi ni kuvua tu viatu kwa kuingia mahali patakatifu.
Angedondoka kama wangefanikiwa kumvua gamba akawa mwepesi, lakini kwa sasa kwa kuwa gamba lake bado analo hakuna uwezekano wa kudondoka asilani.Tumuombee , maana hii speed asije dondoka!
Sijawahi kumwona Lowasa ametilia walao ile kofia ya blakashia, maana nikisema kanzu na koti juu yake nitakuwa nimeenda mbali mno. Jana hapa alichojitahidi ni kuvua tu viatu kwa kuingia mahali patakatifu.
rais wetu mtarajiwa.

Worst still, there was no need for you to read her no comment post.We First Lady.if you had no comment,then,there was no need to comment.