Picha!

Picha!

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,343
Reaction score
16,807
je kavaa wingi?
10460824_968009503217715_9110815170426290997_n.jpg
 
Hii picha imenitatiza sana,ukiangalia ni kama kavaa yeye lakini nimeiona kwenye ukurasa wa facebook wa BBC kuna mwanamke yuko pembeni amevaa hilo wigi,ambaye kwenye hii picha anaonekana yuko nyuma ya Mugabe.Mimi nahitimisha kwamba ni wa nyuma yake ndo kavaa
 
Angalia hizo heleni karibu kabisa na masiko ya Mugabe lakini haziko masikioni mwake,huyo mwenye hizo heleni ndiye mwenyewe wigi.
 
Back
Top Bottom