Picha. . . .

Ni vyema kutunza kumbukumbu, lakini sio wanandoa wote au watu walioko kwenye uhusiano, wanapotengana wanaweza kuwa na ujasiri wa kutunza kumbukumbu hizo, itategemea zaidi na jinsi walivyoachana au kutengana.......................... kama mmoja alitendwa na hataki kabisa kumkumbuka mwenzi wake ni vyema akaharibu kumbukumbu hizo, ili zisije zikamkumbusha maumivu aliyokwisha yasahau..................
 
hilo inategemea na utashi wa mtu japo most of th tym watu waharibu kila kitu kwasababu ya here and for now hasira,,,,ila kwa zile ambazo zipo soo obvious z better to get rid of them japo kuharibu physical memoriez haimaanishi ndiyo kweli utamsahau moja kwa moja.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom