Picha Zisizo Za Kawaida No.9: Jengo Refu Kuliko Yote Duniani Linavyostahimili Radi!

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
It was a thunder lightning night ...... Hit the world talest tower DUBAI TOWER As long as half hour and the lighning was hitting the tower and the thunder sounded All over the neighouring area something more than usual.

Mnakumbuka tetemeko lilivyotikisa PPF Tower? Mabomu ya Mbagala Je?

Hii radi ingetokea Bongo pale PPF au Mkapa Towers Ingekuwaje? Elezea Picha unayoipata . . .

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • dubai_tower_light_Funzug.org_01.jpg
    dubai_tower_light_Funzug.org_01.jpg
    36.7 KB · Views: 7,824
  • dubai_tower_light_Funzug.org_03.jpg
    dubai_tower_light_Funzug.org_03.jpg
    19.8 KB · Views: 7,369
  • dubai_tower_light_Funzug.org_04.jpg
    dubai_tower_light_Funzug.org_04.jpg
    19.6 KB · Views: 7,308
Hili jengo ukiliangalia hadi shingo inauma maana huoni linaishia wapi na hata ukipiga picha ni changamoto!Wenzetu hawa wako juu kwa mengi!
Launching yake itafanyika tarehe 9/9/2009 saa 9.9 a.m.! yaani 99999!

Sikuwahi kufikiria hili la radi.
 
Hili jengo ukiliangalia hadi shingo inauma maana huoni linaishia wapi na hata ukipiga picha ni changamto!Wenzetu hawa wako juu kwa mengi!
Launching yake itafanyika tarehe 9/9/2009 saa 9.9 a.m.! yaani 99999!

Sikuwahi kufikiria hili la radi.

Du WoS;

Very interesting. Sikuwa aware na tarehe hizo . . .

Hebu niambie Mkulu ungekuwa uko PPF Towe kisha radi kama hiyo inapiga kwa nusu saa . . . "ungekuwa wewe ungefanyaje?" tupe picha? LOL
 
Du WoS;

Very interesting. Sikuwa aware na tarehe hizo . . .

Hebu niambie Mkulu ungekuwa uko PPF Towe kisha radi kama hiyo inapiga kwa nusu saa . . . "ungekuwa wewe ungefanyaje?" tupe picha? LOL

Habari ndiyo hiyo mkuu!
Ningekuwa mimi...nikisikia mlio ningejua nimepona maana light travels faster than sound...simple physics.So nisingefanya kitu ila kumshukuru Mungu kwa kuniepusha na kifo.Vinginevyo basi pia nisingefanya kitu kama sikuusikia mlio maana ningekuwa kwishnei - dead meat!
 
Haaa haaa, Sawa Mkuu . . .

Lakini kumbuka radi hiyo ilipiga nusu saa that means there was both Lightining and Thunderstom . . .
 
Hili jengo ukiliangalia hadi shingo inauma maana huoni linaishia wapi na hata ukipiga picha ni changamoto!Wenzetu hawa wako juu kwa mengi!
Launching yake itafanyika tarehe 9/9/2009 saa 9.9 a.m.! yaani 99999!

Sikuwahi kufikiria hili la radi.

Isn't that a satanic number?

9.gif
acrostic_a.jpg
nd they both keep on infinitely multiplying & adding up to NINE. Satan's number. The number of the EGO, as it keeps returning unto itself. As a study of "The Unknown Known" shows, Satanic Forces work in variables of Nine - Epochs & Ages. Keeping this in mind, also consider multiples of Nine in seconds, minutes, hours, Days, Months {as in Pregnancy, the genesis of Life}, Nine Years, etc.

pitchfork.jpg
Also consider that the 9th letter in the alphabet is I, again, representative of The Self.

Satan represents the flesh, carnal desire, all the considerations of the physical aspects of existence. Of material attainment. Satan is the body, with all its lusts, & which houses the brain, the wellspring of creation. As Nine signifies Satan, consider this... there are NINE bio-systems in the body, which comprise your being! Indeed, the sinews of Satan moving your flesh! No wonder blindlighters attempt to thwart themselves! To be purely Natural is the epitome of strong life!

source: http://www.geocities.com/draconisblkthn/666913.html
 
Isn't that a satanic number?

Mkubwa,
This is the info I got from there.Nisingeweza kuuliza kama ni satanic or angelic numbers.. i was just amazed by the architectural design and the amount of resources going into putting up this world monument....hahahahah

What came into my mind immediately was the Tower Of Babel.... if u remember the people who were constructing a tower to go to GOD!
For all I know the only number that people associate with satan is 666 and not 999..Yet from your post above, I now know that number 9 has to be looked with suspicion too!!
 
Hili jengo ukiliangalia hadi shingo inauma maana huoni linaishia wapi na hata ukipiga picha ni changamoto!Wenzetu hawa wako juu kwa mengi!
Launching yake itafanyika tarehe 9/9/2009 saa 9.9 a.m.! yaani 99999!

Sikuwahi kufikiria hili la radi.

Du WoS;

Very interesting. Sikuwa aware na tarehe hizo . . .

Hebu niambie Mkulu ungekuwa uko PPF Towe kisha radi kama hiyo inapiga kwa nusu saa . . . "ungekuwa wewe ungefanyaje?" tupe picha? LOL

Mambo mengine ni ya kushangaza sana... Mtoa mada/bandiko wala hajui chochote kuhusu hilo jengo, na kaja na bandiko kubwa tu!

Anyway hata hiyo radi iliyoipiga jengo hilo ililast for one hour! weka kwenye kumbukumbu zako. Maanake inaonekana unaokota tu hizo images kwenye emails na kuja kuzidump hapa JF
 
Wewe Kibunago wacha kujifanya unajua kuliko wengine. Mwenyewe pia hujui lolote na huna data za kweli. Sites zaidi ya kumi zote zinasema nusu saa na ndiyo mtoa maada kaandika. Wewe saa moja umeitoa wapi? Angalia site chache tu kama:

www.funzug.com/index.php/unusual-things/thunder-lightning-on-dubai-tower.html

www.guy-sports.com/humor/pictures/picture_lightning_strikes.htm

bzupages.com/f46/lightning-dubai-tower-2620

Sasa kama wewe ndiyo huna kumbukumbu zingatia hilo. Walau hata huyo anatupa mabadindiko ya kuelimisha kuliko yale yako ya "Mambo ya Kikubwa" unayopost kila kukicha. Acha chuki zisizo na mpango.
 
Waarabu wote wangeacha kukumbatia mila zilizopitwa na wakati zilizofunganishwa katika dini, na kuwa wawazi kama Dubai, wangekuwa mbali sana kimaendeleo.

Lakini kama;
  1. Zaidi ya nusu ya raia wake (wanawake) wananyimwa uhuru wa kuchangia kwenye maendeleo,
  2. Western civilization inaonekana kama ni kinyume na mila na dini,
    Watu wa imani nyingine hawaruhusiwi kuchangia kwenye maendeleo ya hizo nchi, n.k., n.k.,
Nchi hizo zitabaki nyuma licha ya kuwa na mafuta mengi na hazitakuwa kama Dubai unless wabadilike.
 
Wewe Kibunago wacha kujifanya unajua kuliko wengine. Mwenyewe pia hujui lolote na huna data za kweli. Sites zaidi ya kumi zote zinasema nusu saa na ndiyo mtoa maada kaandika. Wewe saa moja umeitoa wapi? Angalia site chache tu kama....

Labda kapitia website mbili zinazosema nusu saa, kisha akajumlisha nusu saa plus nusu saa = 1hr.

Hesabu rahisi kabisa, au sio?
 
Labda kapitia website mbili zinazosema nusu saa, kisha akajumlisha nusu saa plus nusu saa = 1hr.

Hesabu rahisi kabisa, au sio?

Una maana Mkuu Kibunago anajifanya mtu wa ZE DATAz halafu hata kujumisha hajui? JF kuna mambo . . . .

Teeeh teeh . . . fyoo fyoo . . . haaaa . . . haaa
 
This is amazing, thangs to the designers that they did all these calculations before building that tower. Back in Tanzania we are not doing well in design thus why most of the building down here are below standard.
 
Una maana Mkuu Kibunago anajifanya mtu wa ZE DATAz halafu hata kujumisha hajui? JF kuna mambo . . . .

Teeeh teeh . . . fyoo fyoo . . . haaaa . . . haaa

Be careful asikusikie mwenyewe... oh!
 
Mambo mengine ni ya kushangaza sana... Mtoa mada/bandiko wala hajui chochote kuhusu hilo jengo, na kaja na bandiko kubwa tu!

Anyway hata hiyo radi iliyoipiga jengo hilo ililast for one hour! weka kwenye kumbukumbu zako. Maanake inaonekana unaokota tu hizo images kwenye emails na kuja kuzidump hapa JF

hana jipya huyu.................. hope hizi ni sign moja wapo za wale jmaa wa mansoon so usishangae kuona hizo tarehe na jengo lenyewe maana hawa jamaa kila nchi na mji mkuu kuna sign yao, inaweza kuwa mnara mrefu kuliko au jengo refu kulikooo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom