Picha zilizo shinda katika mashindano ya picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha zilizo shinda katika mashindano ya picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 13, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]  Picha zilizo shinda katika mashindano ya picha

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Picha ya tatu inatia huzuni sana..
  kabla hujafa hujaumbika kwa kweli..
  Mngu tu atusaidie..
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ooh.amazing picture.
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  na pia inadhalilisha waafrika.
   
 5. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mpiga picha ya tatu alichukua hatua gani baada ya kumuona huyo mtoto?
   
 6. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  picha ya tatu hiyo itolewe tu, hakuna chochote cha kufanya mtu ashinde hapo......
   
 7. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wazungu wanaipenda sana hiyo picha ya tatu, hiyo ndiyo Afrika inayotambuliwa na Wazungu mpaka leo.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hiyo picha ya tatu yenye mtoto mbona siioni......
   
 9. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hyo picha ya mwisho! Duh.
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hiyo Picha ya tatu ilipigwa Somalia wakati wa njaa kali miaka kadhaa iliyopita. Huyo mtoto alikuwa anatambaa kuelekea walipo watoa misaada wa mashirika ya UN, na akawa anazidiwa kutokana na njaa kali, huku huyo tai akiwa standby anamsubiria afe ili aanze kufaidi mzoga. Mpiga picha wa picha hiyo inasemekana alikuwa ni Mwingereza, ambaye baada ya kukishuhudia hicho alichokiona hapo, na kupiga picha hiyo, alijinyonga kutokana na msongo wa mawazo.
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  MPENDWA, KWA KUONGEZEA HAPO..........

  mpiga picha alimuacha na kuondoka bila kumsaidia huyo mtoto, baadaye ikajulikana kuwa huyo mtoto alikufa na kuliwa na huyo tai. habari hii ilipoenea na mpiga picha alishutumiwa sana na wanaharakati na hata mchumba wake waliyetarajia kufunga naye ndoa alimkataa kwa kusema hataki kufunga ndoa na mtu katili kama huyo! hayo mashutumu toka kwa watu mbalimbali yalipomzidi alijuiua kwa kujinyonga!

  hiyo picha inahuzunisha jamani,
  si picha tu hapo,
  ni msiba kamili wa somalia,
  msiba usiisha huko somalia,
  msiba endelevu wa bara la afrika,

  ee Mwenyezi Mungu tunusuru watu wako!
   
 12. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hiyo picha ya treni inayopinduka huku abiria wake wakiiangalia, japo ni kuchakachuliwa, lakini inatisha kwa kweli wapendwa!

  kifo kinakuja unakiangalia hivi hivi!

  dah, usanii mwingine!
   
 13. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ee Mungu wangu! Unamuona binadamu mwenzio katika hali kama hiyo una mpiga picha na kumwacha!! Pamoja marehemu ahukumiwi lakini lazima baadaye roho ilimsuta mpiga picha! Mungu utunusuru na hili janga. Na tuendelee kuwaombea ndugu zetu wasomalia...
   
 14. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mimi na wewe hatuwezi jua ila pia ametusaidia kujua hali halisi ya maisha na matukio hapa duniani, wakati wengine wanatupa chakula wengine hali halisi ndio hiyo. Mungu atunusuru na majanga ya ukame na njaa kama picha hiyo inavyoonyesha ni huzuni kubwa.
   
 15. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo picha ya mcheza golf, mbona anaonekana alipiga karibu sana na mpira ndo unaanza kuondoka baada ya hapo ilikuwaje kwa mpiga picha alipona kweli?
   
 16. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  We MziziMkavu una undugu na Michuzi nini? Maana mafoto unayotushushia tangu jana si ya kitoto.Kama ndo fani yako basi endelea nayo kwa bidii.
  Picha ya huyo mwanajeshi anyejaribu kuvutwa na helicopter kutoka baharini huku the great white shark naye akiwa tayari kujipatia rizki yake imeniacha hoi kabisa.Sijui kama alipona! Pia huyo alikuwa anaelekea kwenye mdomo wa mamba sijui naye kama alipona.
   
 17. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Picha nyingi hizo ni feki, kazi ya Photoshop. Picha ya mamba na parashuti, ya papa na helicopter , ya treni.
   
 18. m

  mchongi Senior Member

  #18
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli mungu amrehemu mwafrika mwenzetu,. iwe aibu kwa viongozi wa afrika wanaojilimbikizia mali na kujali matumbo yao na wanao huku wakiacha waja wa mungu wakiangaika kwa umaskini, na hasa njaa huku wao kila na kunywa na kusaza.
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Alijinyonga
  <br />
  <br />
   
 20. Ciro

  Ciro Member

  #20
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Correction kidogo wakuu kuhusu picha ya tatu... Jina la mpigaji picha io ya tatu anaitwa KEVIN Carter, ni Raia wa South Africa na io picha ilichukuliwa nchini SUDAN wakati wa ukame 1993.. alijiua mwaka 1994 kwa Carbon monoxide inhalation kutoka katika exhaust pipe ya gari lake mwenyewe...aliacha suicide note inayosema "I am depressed ... without phone ... money for rent ... money for child support ... money for debts ... money!!! ... I am haunted by the vivid memories of killings and corpses and anger and pain ... of starving or wounded children, of trigger-happy madmen, often police, of killer executioners ... I have gone to join Ken [recently deceased colleague Ken Oosterbroek] if I am that lucky "
   
Loading...