Picha zilizo shinda katika mashindano ya picha

Bila shaka hayo mashindano yalifanywa nje ya bara letu. fanya mpango hiyo picha ya tatu uitoe, hata aliyepiga hiyo picha alishindwa kuvumilia kwa ukatili alioufanya akidhani yeye ni binadamu wa thamani sana kuliko huyo mtoto
 
Picha ya tatu inatia huzuni sana..
kabla hujafa hujaumbika kwa kweli..
Mngu tu atusaidie..

Hiyo ndo picha ambayo mpiga picha,if not mistaken ni CNN repoter,badaye alikuja kuji-comit suicide regreting kwa kitendo cha kumpiga picha huyo mhanga wa njaa na kumwacha bila msaada! Inasemekana kuwa huyu mhanga wa njaa baada ya kuachwa na huyu photographer,alikuja kuliwa na huyu ndege.....ilisikitisha sana,sababu intention ya photographer ilikuwa ni kupiga tu picha na kwenda kuiuza ktk international media!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom