Picha zilizo nihuzunisha sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha zilizo nihuzunisha sana

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 21, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  GetAttachment.aspx8.jpg GetAttachment.aspx7.jpg GetAttachment.aspx5.jpg GetAttachment.aspx4.jpg GetAttachment.aspx3.jpg GetAttachment.aspx.jpg GetAttachment.aspx2.jpg

  hii inasikitisha sana hao wauaji ni mashetani kweli

  (uganda blasts)‏
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,188
  Trophy Points: 280
  Dr hiyo ni jihad, watu washaaidiwa pepo badala ya ufalme wa mbinguni.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Its bad al-shabab inabidi wasakwe mahali walpo mana wasomari wamezagaa kila mahali mii naiomba serikali wawe makini na hawa watu wasibweteke the're nearly!!!to us kwani huku niwengi tanga,arusha,dar,Hivyo erikali itie mkazo katika wageni wawa angalie wanakuja kwa misingigani!Ndo ushahuri wangu kwa vyombo vyote vya usalama japo najua watakuwa wamejipanga.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  na sie nchi za kiafrica tumezidi kimbelembele hujui watu kwao wanagombania nini unaanza kujifanya eti kupeleka majeshi kulinda amani..ndo tukome sasa
   
 5. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Too sad, :crying::crying::crying::crying::A S cry::A S cry::A S cry:
   
Loading...